Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

Huyo koboko Mwenyewe ni mpaka uingie anga zake na stori nyingi watu wanaweka chumvi ila bado koboko anafugika na anatumika kwa michezo hasa watu wa tanga wanawatumia sana
Koboko yupo tofauti, anapenda shari, ukiingia kwenye anga zake anakudhuru tu hata kama hujamuona..tofauti na nyoka wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…