Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kama kawa nitazidi kuwa update hapa hapa JF

View attachment 148219View attachment 148220View attachment 148221
Kwa sasa diamond akienda Nigeria,
hachukuliwi kama mtu tu
asiyefahamika,ni star mpya nchin nigeria,baada ya kuwasili
Lagos media nying baada ya kufahm ujio wake walimtafuta
kwa ajili ya kumfanyia mahojiano,na moja ya media,ni kituo
cha redio cha BEAT_FM ambacho ni
kituo kikubwa Nigeria,Diamond amekuja kufanya shooting ya ,wimbo
wake mpya,na kufanya collabo zingine na wasanii wa
Nigeria akiwemo Iyanya...kwa updates na info zaidi
Tembelea THIS IS DIAMOND PLATNUMZ ,ama instagram page ya
diamond(@diamondplatnumz) ama page yangu ya InstA.. @ kifesi​

Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos, Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili.
d+na+inyaya.jpg

"Nimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku-record video na akili yangu yote inanituma kuifanyia nchini uingereza. nina plan kubwa sana na video ya wimbo huo." amesema Diamond
 
huo uso akiukunja hivyo ndo unapunguza ukubwa wa mdomo??
 
Eeh mi nilijua ndomo kamuacha heaven on desert kwa sababu haitaji kupiga picha, kumbe bado anapiga bile kifesi? Bora ulivyomuacha maana angekuaibisha , angepiga picha hadi pasipopigika, ndomo aliona mapema akaona isiwe ishu.
 
Iyo picha ya chini mbona ngu zinafanana na zile dada zetu wanazovaa siku hizi
 
1.jpg

aseee hivi kumbe hata toi ni pazuri hivi kupigia picha hureeee
 
Huko walitumia lugha gani wakati wa interview?.just curious!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
IMG-20140331-WA0005.jpgIMG-20140331-WA0008.jpgIMG-20140331-WA0009.jpg
Kwa sasa diamond akienda Nigeria,
hachukuliwi kama mtu tu
asiyefahamika,ni star mpya nchin nigeria,baada ya kuwasili
Lagos media nying baada ya kufahm ujio wake walimtafuta
kwa ajili ya kumfanyia mahojiano,na moja ya media,ni kituo
cha redio cha BEAT_FM ambacho ni
kituo kikubwa Nigeria,Diamond amekuja kufanya shooting ya ,wimbo
wake mpya,na kufanya collabo zingine na wasanii wa
Nigeria akiwemo Iyanya...kwa updates na info zaidi
Tembelea THIS IS DIAMOND PLATNUMZ ,ama instagram page ya
diamond(@diamondplatnumz) ama page yangu ya InstA.. @ kifesi​
 
fanya urafiki na mimi,niwe nakupatia real pictures na si hizo unazodownload facebook na instagram,zingine zipo kwenye thisisdiamond.com
 
Za jion mkuu..
mzima,nimeshangaa ulichoandika wakati sasa hiv nimetoka kutumpia picha za matukio yote kwenye interview....ambazo badae wenzako watazidownload watengeneze exclusive story huku,muwe mnaniuliza basi kuliko kujiongelea kwa vile tu mna hasira na mimi..sawa mkuu ?? warumi
 
Last edited by a moderator:
Mi natamani kusikia tu hiyo interview , Sijui aliongea kitu gani.

Hilo tuuu,Tunarekodi kila kitu,ikiwemo video ambazo baadae zitawekwa on youtube channel ya diamond warumi so utasikia usichotaka kukisikia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom