Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kama kawa nitazidi kuwa update hapa hapa JF
View attachment 148219View attachment 148220View attachment 148221Kwa sasa diamond akienda Nigeria,
hachukuliwi kama mtu tu
asiyefahamika,ni star mpya nchin nigeria,baada ya kuwasili
Lagos media nying baada ya kufahm ujio wake walimtafuta
kwa ajili ya kumfanyia mahojiano,na moja ya media,ni kituo
cha redio cha BEAT_FM ambacho ni
kituo kikubwa Nigeria,Diamond amekuja kufanya shooting ya ,wimbo
wake mpya,na kufanya collabo zingine na wasanii wa
Nigeria akiwemo Iyanya...kwa updates na info zaidi
Tembelea THIS IS DIAMOND PLATNUMZ ,ama instagram page ya
diamond(@diamondplatnumz) ama page yangu ya InstA.. @ kifesi
Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos, Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili.![]()
"Nimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku-record video na akili yangu yote inanituma kuifanyia nchini uingereza. nina plan kubwa sana na video ya wimbo huo." amesema Diamond




