Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Acha kamba kaenda kwa ajili ya huu wimbo
 

Attachments

  • 1396287302308.jpg
    1396287302308.jpg
    60.1 KB · Views: 381
mzima,nimeshangaa ulichoandika wakati sasa hiv nimetoka kutumpia picha za matukio yote kwenye interview....ambazo badae wenzako watazidownload watengeneze exclusive story huku,muwe mnaniuliza basi kuliko kujiongelea kwa vile tu mna hasira na mimi..sawa mkuu ?? warumi

OK, tutakuwa tunafanya hvyo next time, haya tunataka kujua, kwa nini Diamond hajaenda na wewe uko Nigeria ukizingatia wewe ndo mtu muhimu especially kuhusu matukio ya picha? kukuacha kwake hakujakuathiri kwa njia yeyote psychological? , je umeshajua anayempiga picha diamond na kuzirusha mitandaoni? Unajisikiaje akipigwa picha na watu wengine wa uko ambao wako technologically fit kukuzid hata wewe? Hauoni hiyo inaweza kukusababishia kibarua kuota nyasi? Be honest
 
Last edited by a moderator:
Media nyingi zimemtafuta kwa ajili ya kufanya mahojiano.........!!!!
Taja hata tatu tu kuonesha huo wingi
 
JF ni burudani sana aseee acha niamini kua Diamond ni msanii star Nigeria ila si juzi juzi hapa wale mapacha walisema hawamjui inakuaje ma-star wenyeji wasimjue,uyu Diamond ana safari ndefu na atafika tu ila sio kumvimbisha kichwa yatakuja kutokea ya Mr Nice mapema jamani acheni apige harakati za kusaka collabo kwanza ili atuwakirishe vizuri sio hizi za kutuambia eti anapokewa kama star....wishin' all the best kwa Platnumz ndio bendera yetu kwa sasa.
 
Acha uongo kaka kifesi (heaven on desert)!!!
Diamond yuko Nigeria kwaajili ya uhamasishaji vijana kushiriki katika kilomo (hasa kilimo cha cocoa) hiyo kampeni imeandaliwa na shirika la ONE (kama sijakosea)!! Na wameenda huko mastaa kibao tu akina fally ipupa, yule dem wa kenye sijui anaitwa kilaimani (silijui fesh jina lake), pia nadhani hata AY pia yupo!! Na wapo huko na 'mwenyeji' wao Femi kuti...
Diamond ni mkali ila acha kumvimbisha kichwa kwa misifa ya uongo..!!!
 
Katupia Kitenge Mwenyewe.......Owwwkayyy!!
Good progress tho'
 
Watz waajabu sana. Yan chakwenu unakiponda? Wakenya wanawasifia mpaka wacheza ngoma kikubwa they belongs to them. In tz? I wonder n they are definetely blessed.
 
Watz waajabu sana. Yan chakwenu unakiponda? Wakenya wanawasifia mpaka wacheza ngoma kikubwa they belongs to them. In tz? I wonder n they are definetely blessed.

Mkuu, kusifia tunasifia sana, lakini kusifia uongo ni ujinga!
 
Yule jamaa anayejiitaga mpiga picha wake mbona yeye hakuwepo?
maana nashangaa hajatuletea manews.
 
Back
Top Bottom