Diamond Platnumz akutana na Kanye west

Diamond Platnumz akutana na Kanye west

Aisee na Alikiba na yeye yuko serenget,kakutana na tembo
11401014_985078668182271_208259825445501827_n.jpg
Duuu binadamuuu
 
Usiktake kulazimisha hisia zako, anaweza asijue TZ bado akamjua D au vice versa au akawa anajua both. Hawa ni watu wa kawaida kama wewe tu wa Uyole. Nakupa hii, D anafanya kazi na Swizz beats beats ambaye ni close friend wa Kanye.
Mkuu hebu nipe kazi moja ambayo D kafanya na swiss beats,najiona mgeni mjini kwangu mwenyewe.
 
Acheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
Hata sio habari ya ajabu na ndio maana na wewe upo kwenye huu uzi unatoa macho, teh teh! Attitudes za Kanye unazijua? ?
 
Mashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare
Hauhusiki chochote na management ya Diamond kwahiyo unaweza kukaa kimya tu, kila kitu kinatoka kwa ratiba maalumu.
 
Miaka mitatu nyuma diamond akiwa na kisuruali chake cha pundamilia alipiga picha na iyanya na peter Wa psquare akachekwa kavamia harusi na kalazimisha picha na mastar hao. Baada ya mwaka kundi la psquare lilimfata diamond na kumsifia na kufanya kazi pamoja na leo washkaji .... Iyanya mwaka Jana bila kishirikishwa na diamond kwenye bambam basi jina lake lisingetajwa kwenye tuzo za MTV... Jana diamond kapiga picha na kanye west kama kawaida watu mapovu ooh mbona kanye hacheki hivi kanye anachekaga hovyo au hamumjui kanye? Hat a akipiga picha na Kim huwa ananuna ... Ooh hiyo ni selfie tu ndio ni selfie lakini selfie hii hata Chris's brown anaitamani..kanye ndo rapper namba moja duniani kwasasa ..juzi katoa raba zimeuzika ndani ya masaa matatu tena usiku Wa manane na kuisha zote kitu ambacho makampuni mengine yanashindwa...kupiga picha na kanye si lelemama kwasababu kwanza kanye hapendi picha..pili anaakili kama ya kichaa ukimkuta kwenye mood mbaya anaweza akakutemea mate..tatu kanye afatiliwa mno na ma paparazzi kuliko hata jay zee kwa hyo kupata sekunde ya kupiga nae.picha ni shughuli....mwisho ni kwamba diamond sio kama wasanii wengine ye Yuki tayari hat a kumfutia viatu kanye ili tu atimize mipango yake ..waliokuwa wanamcheka kipindi kile Leo wanapiga show ambazo diamond alishapiga miaka miwili nyuma...Leo wanaomba kuimba na watu ambao diamond alishaimba nao toka enzi za wakoloni....njia wanazopita diamond alishazipita...nchi wanazoenda kujitangaza diamond tayari ni star...hela wanazolipwa diamond alilipwaga zamani sasa hv hela anayolipwa wote waliokuwa wanamdharau hawaifikii....MY POINT IS....MSIMCHEKE MTU ANAYEHANGAIKA KUJITUMA KESHO UNAWEZA KUJIKUTA UMEAJIRIWA WCB ... MAISHA NI KAMA GWARIDE
 
Rafiki yangu mmoja kijana. Aliwahi kunipa story hii. Miaka kadhaa imepita!
....
Kuna msanii mmoja wa kizazi kipya aliyekuwa anajulikana kama SNOOP LEE, siku moja akajifanya kuwandikia e-mail SNOOPY DOGGY DOGGY wa marekani, eti ooh.. My name is Snoopy Lee, i look like you, im from east Africa,..etc
Majibu ya SNOOPY DOGGY yalikuwa hivi.. short and clear!
...I dont resemble with any monkey from east Africa.
 
Rafiki yangu mmoja kijana. Aliwahi kunipa story hii. Miaka kadhaa imepita!
....
Kuna msanii mmoja wa kizazi kipya aliyekuwa anajulikana kama SNOOP LEE, siku moja akajifanya kuwandikia e-mail SNOOPY DOGGY DOGGY wa marekani, eti ooh.. My name is Snoopy Lee, i look like you, im from east Africa,..etc
Majibu ya SNOOPY DOGGY yalikuwa hivi.. short and clear!
...I dont resemble with any monkey from east Africa.
story yako inatufundisha nini?

Na ina uhusiano gani na Diamond kupiga picha na Kanye?
 
Back
Top Bottom