yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu binadamuuuAisee na Alikiba na yeye yuko serenget,kakutana na tembo
![]()
Mkuu hebu nipe kazi moja ambayo D kafanya na swiss beats,najiona mgeni mjini kwangu mwenyewe.Usiktake kulazimisha hisia zako, anaweza asijue TZ bado akamjua D au vice versa au akawa anajua both. Hawa ni watu wa kawaida kama wewe tu wa Uyole. Nakupa hii, D anafanya kazi na Swizz beats beats ambaye ni close friend wa Kanye.
"Anafanya" sio kafanya. Kazi inapikwa itakuja soon tena Swizz ndiyo aliomba kufanya Kazi na DMkuu hebu nipe kazi moja ambayo D kafanya na swiss beats,najiona mgeni mjini kwangu mwenyewe.
Hata sio habari ya ajabu na ndio maana na wewe upo kwenye huu uzi unatoa macho, teh teh! Attitudes za Kanye unazijua? ?Acheni ulimbukeni ndugu zangu swala la kupiga picha sio lazima kanye awe anamjua diamond, mfano ni huyu jamaa alipiga picha na J cole pale airport KIA jamaa wala hajulikani hata mtaani kwao kapiga picha na Cole na ikawa kawaida watanzania tusiwe washamba kiasi hiki wa View attachment 327452kuona kila kitu ni cha ajabu!
Hauhusiki chochote na management ya Diamond kwahiyo unaweza kukaa kimya tu, kila kitu kinatoka kwa ratiba maalumu.Mashabiki wa daimondi kama zombies ile collabo na neyo vipi he ile na psquare
We mwenzetu mjamaica au? MsyuuuuuuuuuTatizo la huyo anaejiita dimond mswahili sana
Kama sio habari umefuata nini hapa ndugu. Teh teh!So what now? Kama wamekutana ni habari nayo kweli? Waswahili tuna tabu sana.
Hahaha huyu sio Muha kweli au mmanyema ???Uzuri wa huyu mtt wa kizaramo anajua kujishusha plus kujipendekeza pale anapohitaji kitu...
Naisubiri kazi yake na Alicia keys&swizz beats
Jinga weeAisee na Alikiba na yeye yuko serenget,kakutana na tembo
![]()
no problem gud bwoy,you came to US via Syria border right?Hellow"""" i'm diamond from Africa!!! Can we hav a selfie??? So i can send it back home haaaaaaahaaaaaaaaaa!!'
story yako inatufundisha nini?Rafiki yangu mmoja kijana. Aliwahi kunipa story hii. Miaka kadhaa imepita!
....
Kuna msanii mmoja wa kizazi kipya aliyekuwa anajulikana kama SNOOP LEE, siku moja akajifanya kuwandikia e-mail SNOOPY DOGGY DOGGY wa marekani, eti ooh.. My name is Snoopy Lee, i look like you, im from east Africa,..etc
Majibu ya SNOOPY DOGGY yalikuwa hivi.. short and clear!
...I dont resemble with any monkey from east Africa.
Ulimbukeni kama angekuwa hajui angepiga picha??sizani ata kama anajua kuna msanii anaitwa diamond kwanza cheki alivonuna kama kalazimishwa kupiga picha
Nimemuuliza Zari..Kasema ni MmanyemaHahaha huyu sio Muha kweli au mmanyema ???