ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Is that guy that stole his computer.. Kwa hio diamond kaonekana mwizi huko America
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sawa Kaboom kwa hiyo kisa umeskia jamaa katembea zake yupo kwa Obama ,wewe ukapeleka harakati zako kwa mkewe ,Nimemuuliza Zari..Kasema ni Mmanyema
Teh teh..Kuliko kioze heri nimpe jirani..Acha watu waleHahaha sawa Kaboom kwa hiyo kisa umeskia jamaa katembea zake yupo kwa Obama ,wewe ukapeleka harakati zako kwa mkewe ,
Duh wale jamaa wa Wisconsin hata Los Angeles hawaijui iko wapi.Nilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad
Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land
Haha kwa hiyo Kaboom ana vinasaba vya Kikenya ? Ndio maana basi mabinti humu wanamuelewa sana ,usikute ashawaambia yeye ndie Mkenya wa kwanza kufika mweziniKaboom ameshaanza kusema Diamond ni Mzaramo kama Wakenya wanavyodai eti Le Mutuz aka Akili Kubwa ni Mkenya!
Hahahahaha.Aisee na Alikiba na yeye yuko serenget,kakutana na tembo
![]()
Nilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad
Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land
Duh wale jamaa wa Wisconsin hata Los Angeles hawaijui iko wapi.
Ongelea miji mikubwa ambo wanapesa za kutembea sehemu tofauti.kama NY,L.A DC,LV,SF Na sehemu zene uchumi mkubwa
Samahani Kama nimekukwaza.
Halafu Tanzania si Zombie Land
Shika adabu yako kudharau waliko zaliwa wazee wako.
Na kweli,hii nchi ya mazombie ndo imekulea hadi ukapata kiburi cha kubana pua huko kwa wajanja..........
Hao mazombie waliokuzaa wangekutolea somalia ndo ungejua wenzako kwa nini wanapakimbilia tz..
Bora Somalia
Teh teh..Akili kubwa yupo Nigeria anapiga picha tu na super mutindiz