Diamond Platnumz akutana na Kanye west

Diamond Platnumz akutana na Kanye west

uploadfromtaptalk1457219218822.png
oneni huyo jamaa anayeitwa eliah alivo comment
Is that guy that stole his computer.. Kwa hio diamond kaonekana mwizi huko America
 
Diamond : can i take Ekotite brooo!!

Kanye: who are you???

Diamond: Im your number one fan from Africa.

Kanye: ooohh lets do it.

Diamond :Leo watakoma lazima nipost insta
 
Nilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad

Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land
Duh wale jamaa wa Wisconsin hata Los Angeles hawaijui iko wapi.
Ongelea miji mikubwa ambo wanapesa za kutembea sehemu tofauti.kama NY,L.A DC,LV,SF Na sehemu zene uchumi mkubwa
Samahani Kama nimekukwaza.
Halafu Tanzania si Zombie Land
Shika adabu yako kudharau waliko zaliwa wazee wako.
 
Inaonekana Ni Jambo La Ajabu Xana Domo Kupga Picha Na Kanye West
 
Here's my plot.

D: *Spots Ye. Starts rapping* I hate the new Kanye, the bad mood Kanye/ the always rude Kanye...

Ye: *Starts paying attention. Poker faced*.

D: Hey bro, just downloaded Tidal and I can't have enough of TLOP. Mind if we take a pic?

Ye: *poker faced*

D: *click click*

..to be continued...

Kama unadhani ni waswahili tu wanaojipendekeza, then hujawahi kusikia mikasa ya J Cole na majaribio yake ya "produce for Jay-Z, or die trying". Kabla hajawa J Cole.
 
Kaboom ameshaanza kusema Diamond ni Mzaramo kama Wakenya wanavyodai eti Le Mutuz aka Akili Kubwa ni Mkenya!
Haha kwa hiyo Kaboom ana vinasaba vya Kikenya ? Ndio maana basi mabinti humu wanamuelewa sana ,usikute ashawaambia yeye ndie Mkenya wa kwanza kufika mwezini
 
Nilisha ishi Wisconsin USA ilikuwa shida sana kujitambulisha ukisema Tanzania wao wanahisi Trinidad

Watu wa America sio wa Kariba ya kimanzese huwa hawafuatilii yanayojiri Africa Mara nyingi wao huwa wanapokuja Sauzi huwa ndo wanajua Africa nzima ni sauzi Mara nyingi nchi wanazozijua wao ni Egypt, Dzonga , Nigeria, Ghana , Kenya Ethiopia na Somalia maybe kidogo na Namibia na sio Zombie land

Na kweli,hii nchi ya mazombie ndo imekulea hadi ukapata kiburi cha kubana pua huko kwa wajanja..........
Hao mazombie waliokuzaa wangekutolea somalia ndo ungejua wenzako kwa nini wanapakimbilia tz..
 
Hongera Sana Diamond Kwa Kupiga Picha na Kanye west ni Hatua Nzuri sana kwa maendeleo ya Mziki wetu wa Tanzania.
Kanye west.jpeg
 
Duh wale jamaa wa Wisconsin hata Los Angeles hawaijui iko wapi.
Ongelea miji mikubwa ambo wanapesa za kutembea sehemu tofauti.kama NY,L.A DC,LV,SF Na sehemu zene uchumi mkubwa
Samahani Kama nimekukwaza.
Halafu Tanzania si Zombie Land
Shika adabu yako kudharau waliko zaliwa wazee wako.

Usilolijua litakusumbua we hata Kenya hujawaikufika

Kaa huko zombie land na mawazo yako ya kizombi zombi

Nchi yenye wajinga wengi duniani ni hiyo
 
Na kweli,hii nchi ya mazombie ndo imekulea hadi ukapata kiburi cha kubana pua huko kwa wajanja..........
Hao mazombie waliokuzaa wangekutolea somalia ndo ungejua wenzako kwa nini wanapakimbilia tz..

Bora Somalia
 
Back
Top Bottom