Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.

View attachment 2508024
Dollar 705 ni ni kama milion 1.5 na sio milion 17
 
Huyu alikaririshwa cha kusema. Hapo alifundishwa aseme $7500 lakini sababu ya mawenge ya kutokujua dola akataja $705.

Nina hakika kama kapewa hela nyingi sana basi 500,000. SIjui hata kama anajua milioni 5 inafananaje achilia mbali hiyo 17 anayoongelea.

Diamond kafuata cheap labour hapo. Alijua angechukua hao wanaojiita ma video vixen ingebidi atoe hela ndefu.

Ni swala la muda tu huyu atakuja kuibuka kuwa hakulipwa ama alipunjwa malipo.

Pia tujiandae na yeye keshakuwa 'selebriti' ataanza kuita press conference, atakuwa na mabifu na wadada wa mjini na akipendeza kidogo ma star wakibongo wataanza kumlala.

Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.

View attachment 2508024
Dah dunia simama nishuke!
Binti wa hovyo kabisa eti 'Kwa msisitizo zaidi ya mara3 anasema alilipwa kwa dola, na dola zenyewe ni 705, yaani mia saba na tano USD karudia mara4 afu anasema ni milion17 akati hata milioni mbili na laki7 hazifiki ni kama milion mbili na nusu tu za kitanzania, kwa ujinga na upumbavu huu inabidi kuungana kuiondoa sisiem madarakani
 
Huyu alikaririshwa cha kusema. Hapo alifundishwa aseme $7500 lakini sababu ya mawenge ya kutokujua dola akataja $705.

Nina hakika kama kapewa hela nyingi sana basi 500,000. SIjui hata kama anajua milioni 5 inafananaje achilia mbali hiyo 17 anayoongelea.

Diamond kafuata cheap labour hapo. Alijua angechukua hao wanaojiita ma video vixen ingebidi atoe hela ndefu.

Ni swala la muda tu huyu atakuja kuibuka kuwa hakulipwa ama alipunjwa malipo.
Kama kapewa 500k basi dau limepanda, maana ninavyojua wengi wao wanalipwa chini ya hiyo
 
hayo yalikuwa makadirio tu. Si ajabu pia kama alipewa ubwaba na nyama plus bia kadhaa kipindi cha ku shoot. Jioni akaambulia laki 1 na ahadi tele za kufunguliwa njia ya maisha yake kisanaa na kuwa baada ya hiyo video maisha yake yashabadilika maana kashirikishwa na Diamond.
Baada ya hapo akakaririshwa maneno ya kusema kwenye interview kuhusu malipo ili Diamond aonekane don zaidi wakati dada mwenyewe anaganga njaa.
 
Hili unalolisema kinaweza kuwa kweli kabisa. Kuna miaka Fulani walikuwa wanalipwa 30k.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan [emoji765]700 ndo 17m??

Zuwenaa bhanaaa, aje taratibuu aseeh lol
 
Sishangai juu mwaka fulani Marioo alitoka SA, akawa anahojiwa na Wasafi tv (refresh). Kuhusu meno yale ya dhahabu alinunua kiasi gani?? [emoji23][emoji23]nilicheka mnoo na kumdharau Omary kwa ushamba na urongo kutufanya watu wajinga.

Alisema “nimenunua kwa dollars elfu hamsini($50,000), alafu akaongezea kwa Tsh ni kama Million saba (7) hivi[emoji28][emoji28][emoji28]

Nilimdharau mnoo[emoji706]
 
Uyo alitaka kusema rand ,sio dollar

Sent from my CPH2271 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom