Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

Nadhani alitaka kusema 1.7millions sema ulimi ukateleza.

Kwaniaba yake namuombea msamaha wa kukosea figure!! Naombeni mumsamehe wana bodi, tujadili mambo mengine sasa!!

With love, TLJ
 
Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.

View attachment 2508024
Sasa Dola $705 ndo 17M 😂😂😂 Kuna muda unatamani unyamaze ila watu wanalazimisha useme
 
Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.

View attachment 2508024
Watu bwana, yaani leo hii dolla 705 za Marekani ni milioni 17 za Kitanzania kweli? Jamani jipangeni, msilete habari za kijinga humu JF.
 
Sishangai juu mwaka fulani Marioo alitoka SA, akawa anahojiwa na Wasafi tv (refresh). Kuhusu meno yale ya dhahabu alinunua kiasi gani?? [emoji23][emoji23]nilicheka mnoo na kumdharau Omary kwa ushamba na urongo kutufanya watu wajinga.

Alisema “nimenunua kwa dollars elfu hamsini($50,000), alafu akaongezea kwa Tsh ni kama Million saba (7) hivi[emoji28][emoji28][emoji28]

Nilimdharau mnoo[emoji706]
Waandishi wa habari Tanzania hasa hawa mabishoo ni useless kabisa......hawajuwi lolote japo wanashinda mitandaoni kutafuta story ila kichwani hawana kitu.
 
Huyu alikaririshwa cha kusema. Hapo alifundishwa aseme $7500 lakini sababu ya mawenge ya kutokujua dola akataja $705.

Nina hakika kama kapewa hela nyingi sana basi 500,000. SIjui hata kama anajua milioni 5 inafananaje achilia mbali hiyo 17 anayoongelea.

Diamond kafuata cheap labour hapo. Alijua angechukua hao wanaojiita ma video vixen ingebidi atoe hela ndefu.

Ni swala la muda tu huyu atakuja kuibuka kuwa hakulipwa ama alipunjwa malipo.

Pia tujiandae na yeye keshakuwa 'selebriti' ataanza kuita press conference, atakuwa na mabifu na wadada wa mjini na akipendeza kidogo ma star wakibongo wataanza kumlala.
View attachment 2508416
View attachment 2508417
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo anasema kapewa em17 kesho ataita tena press kulalama kuwa Diamond hakumlipa pesa inayostahili mara alinipa laki3 kisha laki tatu ingine akasema atanimalizia. wadada wanatabu sana
 
$ 705 ni sawa na 17m za kibongo?
Nadhani(I might be wrong though) alikuwa ataka kusema 7,500 ila kutokuzijua dollars akajikoroga, lakini ilipofika point ya pesa kubadilishwa na kuwa za madafu ndipo akajua thamani halisi.
 
Nadhani(I might be wrong though) alikuwa ataka kusema 7,500 ila kutokuzijua dollars akajikoroga, lakini ilipofika point ya pesa kubadilishwa na kuwa za madafu ndipo akajua thamani halisi.
Labda alipewa $727.428325 ambayo kwenye kuitaja aka approximate $705, ambapo kwenye ku convert alikosea figure na kutamka 17m badala ya 1.7m
 
Back
Top Bottom