Huyu alikaririshwa cha kusema. Hapo alifundishwa aseme $7500 lakini sababu ya mawenge ya kutokujua dola akataja $705.
Nina hakika kama kapewa hela nyingi sana basi 500,000. SIjui hata kama anajua milioni 5 inafananaje achilia mbali hiyo 17 anayoongelea.
Diamond kafuata cheap labour hapo. Alijua angechukua hao wanaojiita ma video vixen ingebidi atoe hela ndefu.
Ni swala la muda tu huyu atakuja kuibuka kuwa hakulipwa ama alipunjwa malipo.
Pia tujiandae na yeye keshakuwa 'selebriti' ataanza kuita press conference, atakuwa na mabifu na wadada wa mjini na akipendeza kidogo ma star wakibongo wataanza kumlala.
View attachment 2508416
View attachment 2508417