Dollar 705 ni ni kama milion 1.5 na sio milion 17Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
View attachment 2508024
Dah dunia simama nishuke!Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
View attachment 2508024
Kama kapewa 500k basi dau limepanda, maana ninavyojua wengi wao wanalipwa chini ya hiyoHuyu alikaririshwa cha kusema. Hapo alifundishwa aseme $7500 lakini sababu ya mawenge ya kutokujua dola akataja $705.
Nina hakika kama kapewa hela nyingi sana basi 500,000. SIjui hata kama anajua milioni 5 inafananaje achilia mbali hiyo 17 anayoongelea.
Diamond kafuata cheap labour hapo. Alijua angechukua hao wanaojiita ma video vixen ingebidi atoe hela ndefu.
Ni swala la muda tu huyu atakuja kuibuka kuwa hakulipwa ama alipunjwa malipo.
700x2300Dola 700 hata 1.5m inafika kweli
hayo yalikuwa makadirio tu. Si ajabu pia kama alipewa ubwaba na nyama plus bia kadhaa kipindi cha ku shoot. Jioni akaambulia laki 1 na ahadi tele za kufunguliwa njia ya maisha yake kisanaa na kuwa baada ya hiyo video maisha yake yashabadilika maana kashirikishwa na Diamond.Kama kapewa 500k basi dau limepanda, maana ninavyojua wengi wao wanalipwa chini ya hiyo
Hili unalolisema kinaweza kuwa kweli kabisa. Kuna miaka Fulani walikuwa wanalipwa 30k.hayo yalikuwa makadirio tu. Si ajabu pia kama alipewa ubwaba na nyama plus bia kadhaa kipindi cha ku shoot. Jioni akaambulia laki 1 na ahadi tele za kufunguliwa njia ya maisha yake kisanaa na kuwa baada ya hiyo video maisha yake yashabadilika maana kashirikishwa na Diamond.
Baada ya hapo akakaririshwa maneno ya kusema kwenye interview kuhusu malipo ili Diamond aonekane don zaidi wakati dada mwenyewe anaganga njaa.
Uyo alitaka kusema rand ,sio dollarSishangai juu mwaka fulani Marioo alitoka SA, akawa anahojiwa na Wasafi tv (refresh). Kuhusu meno yale ya dhahabu alinunua kiasi gani?? [emoji23][emoji23]nilicheka mnoo na kumdharau Omary kwa ushamba na urongo kutufanya watu wajinga.
Alisema “nimenunua kwa dollars elfu hamsini($50,000), alafu akaongezea kwa Tsh ni kama Million saba (7) hivi[emoji28][emoji28][emoji28]
Nilimdharau mnoo[emoji706]