Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

Nadhani alitaka kusema 1.7millions sema ulimi ukateleza.

Kwaniaba yake namuombea msamaha wa kukosea figure!! Naombeni mumsamehe wana bodi, tujadili mambo mengine sasa!!

With love, TLJ
 
Sasa Dola $705 ndo 17M 😂😂😂 Kuna muda unatamani unyamaze ila watu wanalazimisha useme
 
Watu bwana, yaani leo hii dolla 705 za Marekani ni milioni 17 za Kitanzania kweli? Jamani jipangeni, msilete habari za kijinga humu JF.
 
Waandishi wa habari Tanzania hasa hawa mabishoo ni useless kabisa......hawajuwi lolote japo wanashinda mitandaoni kutafuta story ila kichwani hawana kitu.
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo anasema kapewa em17 kesho ataita tena press kulalama kuwa Diamond hakumlipa pesa inayostahili mara alinipa laki3 kisha laki tatu ingine akasema atanimalizia. wadada wanatabu sana
 
$ 705 ni sawa na 17m za kibongo?
Nadhani(I might be wrong though) alikuwa ataka kusema 7,500 ila kutokuzijua dollars akajikoroga, lakini ilipofika point ya pesa kubadilishwa na kuwa za madafu ndipo akajua thamani halisi.
 
Nadhani(I might be wrong though) alikuwa ataka kusema 7,500 ila kutokuzijua dollars akajikoroga, lakini ilipofika point ya pesa kubadilishwa na kuwa za madafu ndipo akajua thamani halisi.
Labda alipewa $727.428325 ambayo kwenye kuitaja aka approximate $705, ambapo kwenye ku convert alikosea figure na kutamka 17m badala ya 1.7m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…