Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

Huu ni mtambo.
 
TRA wakimfata analia lia alafu analipa M 17 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wanawafanya watoto vijana waone kama maisha marahisi sana
Maana sahvi kila mtoto anataka kuwa mkata mauno mwimba mziki sjui video vixen [emoji1]

Ova
 
Sisi ndugu zake wa huku itilima baada ya kuona kasema kapata m17 tumempigia Simu atupatie hata lak 2 kwa ajil ya mbolea kasema ule n uzush tu badala yake katuambia tumtumie gunia la michembe kwan mjin daslam Hali n mbaya Hana hela
 
Heee
Basi me nikipakwa make up nikawa video vixen nitalipwa M50
 
Na aliyempaka hiyo make up atafutwe achapwe
 
Hawa wanawafanya watoto vijana waone kama maisha marahisi sana
Maana sahvi kila mtoto anataka kuwa mkata mauno mwimba mziki sjui video vixen [emoji1]

Ova
Yes, ndio kuna demu mmoja hivi ana makalio makubwa ila sura ya baba, nae kasema hafanyi bila 10m.. hiyo video yake ilitrend,
 
ila we jamaa🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…