Koma wee... Ni muandishi mzur kwa wenzie waimbaji lakin si uoande wa pili, kwani si ndio alikoanzia yakamshinda we unadhan kuandika mistar kuntu bila swagga kueleweka ni jambo jepesi, msichukulie vtu kitoto kitotodomo is better rapper than fid q
WANACHUKUA KULE KWAO LAKINI KWA HUKU NYIMBO HAKUNA INAYOBANG HATA RIHANNA,BEYONCE HUKU NYIMBO ZAO MPYA ZIMEBUMAHahaha... jamaa wanabeba Grammy unasema wamepotea? track zinagonga Platnum unasema wamepotea?
Kumbe mshkaji hata huufatilii mziki wa nje...
Drake jana tu amevunja record album yake imesikilizwa mara bilion 1 apple store,
Mkuu mbona povu umebwia omo au arielKoma wee... Ni muandishi mzur kwa wenzie waimbaji lakin si uoande wa pili, kwani si ndio alikoanzia yakamshinda we unadhan kuandika mistar kuntu bila swagga kueleweka ni jambo jepesi, msichukulie vtu kitoto kitoto
We unaonaje kwa mfano ni povu la nini!!? Hilo povu umeona wewe na ukipofu wako, mie kawaida tu n niko kwenye kuchangamsha baraza, masihara ya ukweli..Mkuu mbona povu umebwia omo au ariel
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kila mtu anajua fid Q ndo rapper bora mwenye mistari ilioenda shule kuwahi kutokea bongo, ukiwaweka pembeni sugu na prof jayWe unaonaje kwa mfano ni povu la nini!!? Hilo povu umeona wewe na ukipofu wako, mie kawaida tu n niko kwenye kuchangamsha baraza, masihara ya ukweli..
Hizo ni tafsiri zenu kama ambavyo kuna watu waliotafsiri kwamba mwana ilikuwa diss kwa mondFalla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Kweli unazi ni upofu, nikukumbushe machache tuFalla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
May Be. ha ha ha ha ha haAlafu hapo kwenye tilalila Inawezekana pia Mondi ameungana na Blue kumpiga dongo Barakah ambae yupo chini ya kiba... Maybe
wao wanapost TEMBO ,mi napost show....alikiba ni balozi wa TemboSijaona sehemu ya diamond kumdiss alikiba hiyo ni verse ya 2 na verse ya kwanza ilitoka kama wiki 2 zilizopita ya all the way up
yani mond kazingua ili lilikuw lamashabiki lakini yey tena anaponda upo sahihi kabisa kumpond mtu ni dalili kuwa amekushinda ona anavyotapatapa sasa yani huyo choko salam ndo kakuambia uimbe upuuzi huuMSANII AKIANZA BEEF JUA NDO ANAPOTEA KWENYE GAME