Kwenye ngoma iyo kuna jina la kiba kama ubalozi wa tembo na ben pol ni balozi pia wa tembo tatzo timu kiba huwa mnapanic mapema sana....na kama kudis kiba ndo anaongoza kumdis mwenzie ila kwa kuwa ww una mahaba na bichwa huwez onaWao ndo wanasafiria nyota ya Kiba
Wamebandika mpaka picha ya kiba studio kwao ya nini?
Raymond kamuimba wa nini?
Sallam alitikwa mapovu kwa sababu gani?
Diamond anamuimba kiba kila Mara akitafuta nini?
Nikipata majibu hapa ya kutosha zaidi ya matusi nakata pumbu la kushoto