Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Labda haifanyi kazi ndio maana kaamua kuitoa sadaka [emoji12].Halafu kwanini achague ya kushoto?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda haifanyi kazi ndio maana kaamua kuitoa sadaka [emoji12].Halafu kwanini achague ya kushoto?!
Pumbavu kabisa imebidi nikutukane , sina comment nyingine wenye IQ kubwa wameelewadomo is better rapper than fid q
Nimeipenda....
halafu na wimbo aliotumia beat naupenda... All the way up....
Nani kaanza bifu kwani? Mi mgeni mjini.MSANII AKIANZA BEEF JUA NDO ANAPOTEA KWENYE GAME
Nani kamponda nani?yani mond kazingua ili lilikuw lamashabiki lakini yey tena anaponda upo sahihi kabisa kumpond mtu ni dalili kuwa amekushinda ona anavyotapatapa sasa yani huyo choko salam ndo kakuambia uimbe upuuzi huu
Kwahiyo mnataka kiba akitoa nyimbo dunia isimame Kwanza? This is free market, fumua nifumue afu tuone nani atatamba.Domo ana mambo ya kike sana alipoona alikiba katoa nyimbo na barakah akaaachia salome bila kutarajia kasikia video inatoka kaja na skendo nyingine
Yote anafanya ili kiba arudi kkoo domo bwana
Wameanza lini kusafiria nyota ya kiba? Kiba ameimbwa lini? Ni nani ameanza kumdis mwenzie kwenye interviews? Kama tatizo picha kubandikwa ofisini si ya kiba tu zipo picha nyingi hadi ya bi kidude unasemaje kuhusu hilo pia?Wao ndo wanasafiria nyota ya Kiba
Wamebandika mpaka picha ya kiba studio kwao ya nini?
Raymond kamuimba wa nini?
Sallam alitikwa mapovu kwa sababu gani?
Diamond anamuimba kiba kila Mara akitafuta nini?
Nikipata majibu hapa ya kutosha zaidi ya matusi nakata pumbu la kushoto
Aache uswahili kivipi ikiwa ye mwenyewe ni mswahili? Vipi we mwenzetu mjamaika unayejua kiswahili? teh teh.Diamond kapaniki na maisha aache uswahili
REMIX is a piece of media which has been altered from its original state by adding,removing or changing piece of the item.na mhusika naye awepo kama hayupo ujue ni demo ya akapela tu
Aache uswahili kivipi ikiwa ye mwenyewe ni mswahili? Vipi we mwenzetu mjamaika unayejua kiswahili? teh teh.
domo katoa mipasho kwa kibaNani kaanza bifu kwani? Mi mgeni mjini.
Mkuu kama ni beef ya kibiashara acha twende kaziMSANII AKIANZA BEEF JUA NDO ANAPOTEA KWENYE GAME
Labda unisaidie wewe mkuu!Huwa sielewi kabisa watu wanaposema eti fulani ni Mswahili.
Kwani Uswahili ni jambo baya?
Elewa nlicho maanisha usikurupuke siimbi taarabuAache uswahili kivipi ikiwa ye mwenyewe ni mswahili? Vipi we mwenzetu mjamaika unayejua kiswahili? teh teh.