Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

wanaume wa dar katika ubora wao, hivi mmeshamkamata yule kibaka anayetoboa watu macho buguruni?
 
yani mond kazingua ili lilikuw lamashabiki lakini yey tena anaponda upo sahihi kabisa kumpond mtu ni dalili kuwa amekushinda ona anavyotapatapa sasa yani huyo choko salam ndo kakuambia uimbe upuuzi huu
Nani kamponda nani?
 
Domo ana mambo ya kike sana alipoona alikiba katoa nyimbo na barakah akaaachia salome bila kutarajia kasikia video inatoka kaja na skendo nyingine
Yote anafanya ili kiba arudi kkoo domo bwana
Kwahiyo mnataka kiba akitoa nyimbo dunia isimame Kwanza? This is free market, fumua nifumue afu tuone nani atatamba.
 
Wao ndo wanasafiria nyota ya Kiba
Wamebandika mpaka picha ya kiba studio kwao ya nini?
Raymond kamuimba wa nini?
Sallam alitikwa mapovu kwa sababu gani?
Diamond anamuimba kiba kila Mara akitafuta nini?
Nikipata majibu hapa ya kutosha zaidi ya matusi nakata pumbu la kushoto
Wameanza lini kusafiria nyota ya kiba? Kiba ameimbwa lini? Ni nani ameanza kumdis mwenzie kwenye interviews? Kama tatizo picha kubandikwa ofisini si ya kiba tu zipo picha nyingi hadi ya bi kidude unasemaje kuhusu hilo pia?
 
na mhusika naye awepo kama hayupo ujue ni demo ya akapela tu
REMIX is a piece of media which has been altered from its original state by adding,removing or changing piece of the item.
utakuwa umeelewa!
 
Huyu mond noma kila mtindo anateleza tu michano yumo kuimba yumo taarabu yumo za asili yumo shida tupu
 
Back
Top Bottom