Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Huyu mtu sifa sasa yaani anatumia wakati wake ipasavyo katoa Kidogo hatujakaa sawa katoa iki kiremix kifupi mara salome sahv tena remix tena muendekezo
Haya hongera bro ukipata tumia tu
 
Huyu mtu sifa sasa yaani anatumia wakati wake ipasavyo katoa Kidogo hatujakaa sawa katoa iki kiremix kifupi mara salome sahv tena remix tena muendekezo
Haya hongera bro ukipata tumia tu
Hahaha Jamaa anataka akifa asiwe amebakisha vitu,
 
MSANII AKIANZA BEEF JUA NDO ANAPOTEA KWENYE GAME
Achakudanganya watu mkuu beef ndio kila kitu check hata mastaa wa mbele beef daily na raia wanawafuatilia kwenye social media kujua nini ninini watu huwa wanatengeneza beef ili kumake dollars. Soma alama za nyakati..... We ujiulizi y sasa hivi mond na kiba ndio wanamake headline kila kuchwao.... Utakuta wenyewe wako poa tu but kwa 7bbu za kibiashara wanafanya hayo mambo ili waendelee kuzungumziwa kwenye social media. I hop umenielewa mkuu so hayo ni mambo ya kawaida kibongo bongo bila skendo huwezi pata umaarufu fikilia wema sepetu katengeneza jina ndani na nje ya nchi kupitia skendo za kubadilisha mabwana tu leo ukitaj jina la wema anafahamika kuliko mjumbe wako wa serikal za mitaa
 
That's my jam right there.

I'm feelin' Remmy Ma when she spits...

I'm that nigga on Viagra dick

That means I'm all the way up

And you can stay up

P.O.s say I can't get high

Hopped in the helicopter Uber and said...

Go all the way up
Go all the way up
Shorty what you want? Shorty what you need? My niggas run the game, we ain't ever leavin' Countin' up this money, we ain't never sleepin' You got V12, I got 12V Got bottles, got weed, got molly I'm all the way up
 
eeeh sura mizengo!!!!!!!
kama ni kweli kamdhihaki huyo mzee kwenye hiyo nyimbo
itakuwa domo akili na busara yake ndogo sana
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hiyo sura mizengo ila bonge la bishoo nadhani atakua amejizungumzia mwenyewe
 
Back
Top Bottom