Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

domo is better rapper than fid q
Koma wee... Ni muandishi mzur kwa wenzie waimbaji lakin si uoande wa pili, kwani si ndio alikoanzia yakamshinda we unadhan kuandika mistar kuntu bila swagga kueleweka ni jambo jepesi, msichukulie vtu kitoto kitoto
 
Sisi wenye umri mkubwa na tuishio vijijini/mikoani wakati mwingine tunapata shida kidogo kuelewa lugha za vijana
Hahah pole sana mzee,
Vipi pembejeo za kilimo, zimefika?
 
Hahaha... jamaa wanabeba Grammy unasema wamepotea? track zinagonga Platnum unasema wamepotea?
Kumbe mshkaji hata huufatilii mziki wa nje...
Drake jana tu amevunja record album yake imesikilizwa mara bilion 1 apple store,
WANACHUKUA KULE KWAO LAKINI KWA HUKU NYIMBO HAKUNA INAYOBANG HATA RIHANNA,BEYONCE HUKU NYIMBO ZAO MPYA ZIMEBUMA
 
Koma wee... Ni muandishi mzur kwa wenzie waimbaji lakin si uoande wa pili, kwani si ndio alikoanzia yakamshinda we unadhan kuandika mistar kuntu bila swagga kueleweka ni jambo jepesi, msichukulie vtu kitoto kitoto
Mkuu mbona povu umebwia omo au ariel
 
Mkuu mbona povu umebwia omo au ariel
We unaonaje kwa mfano ni povu la nini!!? Hilo povu umeona wewe na ukipofu wako, mie kawaida tu n niko kwenye kuchangamsha baraza, masihara ya ukweli..
 
We unaonaje kwa mfano ni povu la nini!!? Hilo povu umeona wewe na ukipofu wako, mie kawaida tu n niko kwenye kuchangamsha baraza, masihara ya ukweli..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kila mtu anajua fid Q ndo rapper bora mwenye mistari ilioenda shule kuwahi kutokea bongo, ukiwaweka pembeni sugu na prof jay
 
Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Hizo ni tafsiri zenu kama ambavyo kuna watu waliotafsiri kwamba mwana ilikuwa diss kwa mond
 
Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Kweli unazi ni upofu, nikukumbushe machache tu

Kiba - Nafanya project kubwa, siwezi kufanya video backstage kama Diamond na Davido (Number one rmx)
Kiba - Tuzo za Naijeria Diamond ananunua
 
..unajua sielewagi watu mnaobishana kuhusu Kiba na Mondi,inafahamika Kiba ni mwanamuziki(anaweza Kuimba) lakini mondi ni Msanii(Yupo after Hela) kwaio ameinvest kwenye team kwa ujumla from videos na kila kitu ni Rahisi tu ivii kama kubusu kinyago!!
 
MSANII AKIANZA BEEF JUA NDO ANAPOTEA KWENYE GAME
yani mond kazingua ili lilikuw lamashabiki lakini yey tena anaponda upo sahihi kabisa kumpond mtu ni dalili kuwa amekushinda ona anavyotapatapa sasa yani huyo choko salam ndo kakuambia uimbe upuuzi huu
 
Back
Top Bottom