Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Namwelewa chibu akirap zaid kuliko akiimba [emoji2]
 
Jamaa akihamia kwenye Rap Marapper wote lazima wafe njaa tu

Kwani si alianza na ku-rap ana joint moja kafanya na the late Mabovu mbona Marapper hawakufa njaa na yeye akitimkia kwenye ngololoo uko umu ndani mna heka heka imebidi nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enzi hizo nyota ilikuwa haijang'aa
 
Mziki wao bila kukik hauendi hahahahhaha mwaka huu mtanyooka, maana kila week mnatoa wimbo ila kwa bahati mbaya ndio mnavyozidi kupotea uwiii

Vote for Kingkiba at Mtvema Awards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…