Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa akihamia kwenye Rap Marapper wote lazima wafe njaa tu
Enzi hizo nyota ilikuwa haijang'aaKwani si alianza na ku-rap ana joint moja kafanya na the late Mabovu mbona Marapper hawakufa njaa na yeye akitimkia kwenye ngololoo uko umu ndani mna heka heka imebidi nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mstari unaenda sambamba na mstari unaofuata,
WANANIITA SAMMO HUNG JINSI NNAVYOWAKABA KOO
Tale waambie waache Unambinambi/ hata nikila wote dini yangu sio dhambi aah
Huo mstari unaenda sambamba na mstari unaofuata,
WANANIITA SAMMO HUNG JINSI NNAVYOWAKABA KOO
To a majibu nitapost kila hatua