Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha nchi nzima. So rasmi wameanza na Mwanza ambapo tayari imepata frequency ya 104.1 lakini sababu aliyotoa Diamond kwanini wameamua leo eti ni kwasababu ya kushinda manager wake Babu Tale kura ya maoni CCM Morogoro Kijijini.
Hii ni sababu ya kijinga sana kwahiyo kama Babu Tale asingeshinda inamaana angesogeza muda?
Kingine zaidi waliwaambia wapenzi wao wapige kura za kuchagua mkoa gani waanze nayo kurusha Wasafi FM kura nyingi ikapata Mkoa wa Tanga. Sasa sijajua kwanini wameanza na Mwanza? Kama mlikuwa na mkoa wenu mfukoni kwanini mliwasumbua watu wapige kura?