Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha nchi nzima. So rasmi wameanza na Mwanza ambapo tayari imepata frequency ya 104.1 lakini sababu aliyotoa Diamond kwanini wameamua leo eti ni kwasababu ya kushinda manager wake Babu Tale kura ya maoni CCM Morogoro Kijijini.

Hii ni sababu ya kijinga sana kwahiyo kama Babu Tale asingeshinda inamaana angesogeza muda?

Kingine zaidi waliwaambia wapenzi wao wapige kura za kuchagua mkoa gani waanze nayo kurusha Wasafi FM kura nyingi ikapata Mkoa wa Tanga. Sasa sijajua kwanini wameanza na Mwanza? Kama mlikuwa na mkoa wenu mfukoni kwanini mliwasumbua watu wapige kura?
 
Kuhusu mkoa wewe unaweza piga kura lkn wao wakawa wanaangalia biashara zaidi.

Mikoa kama Mwanza na Arusha kibiashara ipo vizuri.Huwezi jua hata makampuni wanataka matangazo yao yasikike mikoa hiyo.
Sawa sikatai hoja yako lakini kulikuwa na haja gani ya kuwaambia mashabiki wapige kura ikiwa wanajua hilo
 
Oyooooooo goma limefia town maana nasumbuka na habari za michezo sana na magazeti, kitenge na zembwela ni kiburudiasho tosha sana.

Tajiri hana chuki kwa mtu maskini, ila maskini ana chuki kwa tajiri
Mzee hapa Hakuna chuki kabisa tunawekana tu sawa na of course Jambo waliofanya Wasafi ni Jambo kubwa ila lengo langu ni kusisitiza professionalism lazima iheshimiwe
 
Mzee hapa Hakuna chuki kabisa tunawekana tu sawa na of course Jambo waliofanya Wasafi ni Jambo kubwa ila lengo langu ni kusisitiza professionalism lazima iheshimiwe

Sawa nakuelewa ile ni mali ya mtu binafisi anamua anacho taka mwenyewe akilala akiamka anatoa mamuzi ata akisema awashe mitambo mara ni yeye tu,

Lile sio shirika la UMMA useme wanatumia pesa za wavuja jasho, so hamna haja ya kumlaumu kwa chochote anatafuta pesa.

Pili usiamini sana maneno ya wanasiasa bora ata wasanii
 
Nyie ndo mnatuma msg ndeefu za maoni DW na BBC kuwaponda na kuwaonya kina Putin, Kiduku, Trump nk mkiamini jumbe zenu wameziona na kuzisikia na mkifurahia kuwakomesha. Mixa siku ujumbe wako unasomwa unafungulia redio sauti kubwa ili wanakijiji wenzio wakusikie ulivompa za uso Borris Johnson.

Walichofanya Wasafi ni kuwashirikisha tu mfeel kuhusika ila haimaanishi hawana utaratibu wao wa kupanga program zao hadi wapangiwe na nyie
 
Sio mwanza bana Bado hajasema

Screenshot_20200722-003420.jpg
 
Back
Top Bottom