Innovator97
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 274
- 375
Daaah kumbe hata kula haujapiga, afu unalalamika... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijapiga kura me nimewasemea watu soma vizuri mada yangu utaelewa
Hahahahah innocent ataambia nini watu wakati alikurupuka Numbisa Daudi Mchambuzi njooni mumuone rafiki yenu uku πππMzee wa kukurupuka, ona sasa ulivoumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1513427
π€£π€£π€£ wenge la njaa hatari sanaHahahahah innocent ataambia nini watu wakati alikurupuka Numbisa Daudi Mchambuzi njooni mumuone rafiki yenu uku πππ
wewe tatizo lako nini kwani?Sawa sikatai hoja yako lakini kulikuwa na haja gani ya kuwaambia mashabiki wapige kura ikiwa wanajua hilo
Hahahahah innocent ataambia nini watu wakati alikurupuka Numbisa Daudi Mchambuzi njooni mumuone rafiki yenu uku πππ
Utakufa na chukiNampongeza Diammd kwa kutengeneza 'kundi la misukule' anaigeuza atakavyo.
Ni sawa na Misukule ya Gwajima:
2015 Aliiuza kwa Lowassa.
Leo 2020, Kaiuza kwa Magufuli.
Diamond naye ya kwake mwaka huu kaiuza kwa Magufuli/CCM.
Hata Hiyo Radio yenyewe "content ni Jibberish'
Yaani inasikilizwa kwasababu ni "Radio ya Diamond"
Diamond na Kusaga sio matajiri bana..wangekuwa matajiri wangenunua mansions Masaki(6B minimum) mawazo tuOyooooooo goma limefia town maana nasumbuka na habari za michezo sana na magazeti, kitenge na zembwela ni kiburudiasho tosha sana.
Tajiri hana chuki kwa mtu maskini, ila maskini ana chuki kwa tajiri
Diamond na Kusaga sio matajiri bana..wangekuwa matajiri wangenunua mansions Masaki(6B minimum) mawazo tu
Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha nchi nzima. So rasmi wameanza na Mwanza ambapo tayari imepata frequency ya 104.1 lakini sababu aliyotoa Diamond kwanini wameamua leo eti ni kwasababu ya kushinda manager wake Babu Tale kura ya maoni CCM Morogoro Kijijini.
Hii ni sababu ya kijinga sana kwahiyo kama Babu Tale asingeshinda inamaana angesogeza muda?
Kingine zaidi waliwaambia wapenzi wao wapige kura za kuchagua mkoa gani waanze nayo kurusha Wasafi FM kura nyingi ikapata Mkoa wa Tanga. Sasa sijajua kwanini wameanza na Mwanza? Kama mlikuwa na mkoa wenu mfukoni kwanini mliwasumbua watu wapige kura?
We unataka wafanyaje, au kipi kinakukera! Mi naona kila mtu ashinde mechi zake.Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha nchi nzima. So rasmi wameanza na Mwanza ambapo tayari imepata frequency ya 104.1 lakini sababu aliyotoa Diamond kwanini wameamua leo eti ni kwasababu ya kushinda manager wake Babu Tale kura ya maoni CCM Morogoro Kijijini.
Hii ni sababu ya kijinga sana kwahiyo kama Babu Tale asingeshinda inamaana angesogeza muda?
Kingine zaidi waliwaambia wapenzi wao wapige kura za kuchagua mkoa gani waanze nayo kurusha Wasafi FM kura nyingi ikapata Mkoa wa Tanga. Sasa sijajua kwanini wameanza na Mwanza? Kama mlikuwa na mkoa wenu mfukoni kwanini mliwasumbua watu wapige kura?