Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Mzee wa kukurupuka, ona sasa ulivoumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200722-084419.jpg
 
Em tafuta kifungua kinyWa kwanza, Easy easy.
 
Athari za hilo alilofanya ni zipi Inno? Pengine sisi hatukuelewi.
 
Nampongeza Diammd kwa kutengeneza 'kundi la misukule' anaigeuza atakavyo.

Ni sawa na Misukule ya Gwajima:

2015 Aliiuza kwa Lowassa.

Leo 2020, Kaiuza kwa Magufuli.

Diamond naye ya kwake mwaka huu kaiuza kwa Magufuli/CCM.

Hata Hiyo Radio yenyewe "content ni Jibberish'

Yaani inasikilizwa kwasababu ni "Radio ya Diamond"
Utakufa na chuki
 
Oyooooooo goma limefia town maana nasumbuka na habari za michezo sana na magazeti, kitenge na zembwela ni kiburudiasho tosha sana.

Tajiri hana chuki kwa mtu maskini, ila maskini ana chuki kwa tajiri
Diamond na Kusaga sio matajiri bana..wangekuwa matajiri wangenunua mansions Masaki(6B minimum) mawazo tu
 
Msanii kuwagawa watu kisiasa ni kujipunguzia fanbase.
 
Diamond na Kusaga sio matajiri bana..wangekuwa matajiri wangenunua mansions Masaki(6B minimum) mawazo tu

Kumbe ww unajua matajiri ni leizer tu ?

Kwa hiyo wapo kundi gani kati ya maskini/ tajiri achana na ma trillionea akina MO,

Kwa tanzania Mond na kusaga ni matajiri achana na story za vijiweni
 
Mkuu fungua yako upeleke Tanga huko. Mwanaume wa Tanga umeumia sana😀😀😀
 
Look kid ukianzisha radio yako utafanya unayoyafanya ila for now let me do what I think it's right for my radio
Tchao
Leo CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza mkoa ambao utaanza kurushwa Wasafi FM, kumbuka Diamond alithibitisha mwezi wa 4 mwaka huu kuwa wamepata idhini ya kurusha nchi nzima. So rasmi wameanza na Mwanza ambapo tayari imepata frequency ya 104.1 lakini sababu aliyotoa Diamond kwanini wameamua leo eti ni kwasababu ya kushinda manager wake Babu Tale kura ya maoni CCM Morogoro Kijijini.

Hii ni sababu ya kijinga sana kwahiyo kama Babu Tale asingeshinda inamaana angesogeza muda?

Kingine zaidi waliwaambia wapenzi wao wapige kura za kuchagua mkoa gani waanze nayo kurusha Wasafi FM kura nyingi ikapata Mkoa wa Tanga. Sasa sijajua kwanini wameanza na Mwanza? Kama mlikuwa na mkoa wenu mfukoni kwanini mliwasumbua watu wapige kura?
 
We unataka wafanyaje, au kipi kinakukera! Mi naona kila mtu ashinde mechi zake.
 
Back
Top Bottom