Diamond platnumz ameshinda tuzo mbili afrimma

Kumbe na komandoo naye kabeba?

Kwenye hii list naona kma ndomo kachkua tuzo moja best east african collabo bora wamechkua mafikizolo + Uhuru_khona....au macho yangu mabovu?
 

hii list mbona inaonyesha best collabo imeenda kwa mafikizolo? au macho yangu.
 
jide haongelewi kabisa hapa km hajashnda vle.

Ndo nashangaa Jide kashazoea yule mtu mzima kwahyo ni kawaida mwenyewe nilijua hayupo kumbe kashinda hana mashauzi ndo mana kadumu zaidi ya ten years mchezo
 
Hater hawakosi sababu...mpe hongera zake kwa kulitangaza vema jina la nchi yako.

Nyie ndiyo Haters no 1, hiyo tuzo alikuwa anagomba Diamond peke yake? Lady Jaydee na producer Shade Clever hawajashinda? Au siyo waTanzania? Acheni hizo, muabuduni basi kama mnampenda sana.
 
Kashinda tuzo 1 tu,hiyo nyingne labda mmempa nyie best collabo imeenda kwa mafikizolo
 
Ndo nashangaa Jide kashazoea yule mtu mzima kwahyo ni kawaida mwenyewe nilijua hayupo kumbe kashinda hana mashauzi ndo mana kadumu zaidi ya ten years mchezo

dimond kachukua tuzo moja na ya best collabo imeenda kwa mafikizolo.
 
hongera diamond na jide mmeipeperusha vyema bendera ya tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…