Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Pia hakuna wawakilishi?..ameenda mwenyewe ama?maana ni zaid ya saa 2 sasa tunasubiria haters waone pics.....kuna mtu aliahidi kuny.a posta hadi mwenge...naomba ajitahd kula mda huuuu
hahahahaha kumbe na wewe ulimnote na mwingine akamsapoti kuwa ataendelea kunya kuanzia mwenge hadi mbezi, nawashauri wanywe dawa za kuharisha.