Diamond platnumz ameshinda tuzo mbili afrimma

Diamond platnumz ameshinda tuzo mbili afrimma

Pia hakuna wawakilishi?..ameenda mwenyewe ama?maana ni zaid ya saa 2 sasa tunasubiria haters waone pics.....kuna mtu aliahidi kuny.a posta hadi mwenge...naomba ajitahd kula mda huuuu

hahahahaha kumbe na wewe ulimnote na mwingine akamsapoti kuwa ataendelea kunya kuanzia mwenge hadi mbezi, nawashauri wanywe dawa za kuharisha.
 
hongera sana mkuu kwa hatua uliyofikia,ni iman yangu kuwa next time tutafika mbali zaidi,once again hongera sana mkuu diamond kwa tunzo zako.
 
mliosema diamond akishinda awards nje ya nchi mtakunya toka posta mpaka ubungo tunawasubiri camera zipo on.

mmoja alisema posta mpk mwenge mwenzie akaongezea kutoka mwenge hadi ubungo via Sam nujoma road,sasa sijui watafanya hvy kweli?anyway let's wait and see
 
Back
Top Bottom