Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dina binamu ana cha kujitetea kuwa diamond kashinda kwa East Africa na davido si kashinda kwa West Africa (so hawakuwa category moja) na pia davido ndo Artist of the year so kawakimbiza tu. Hahahaha namsubiri binamu angu aje hapa, na hivi siku hizi anachamba hadi kwa kiingereza. Kudos to diamond and komandoo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaan warumi leo kasahau mpaka kutusalimiaa,,tutasandaaa sijui leo ataenda kushinda kwa dada jide nyumbani kwake yaan na hivi kesho sikukuuu, ntamtoroka msukuma wangu niende kwenye kigodoro