Pia hakuna wawakilishi?..ameenda mwenyewe ama?maana ni zaid ya saa 2 sasa tunasubiria haters waone pics.....kuna mtu aliahidi kuny.a posta hadi mwenge...naomba ajitahd kula mda huuuu
huyo kiba atasubir sana!! mwenzie ndomo anajikusanyia tuzo. yy amekalia tu majungu. mamaee
Grand PA
Insta ndio hawatapumuaa kabisaaaa afadhali humu
Aaaa si na we muongelee jide,mi namuongelea domo wapi jobless mwenzetu Warumi leo atajibeba hakuna davido hapaa teh teh
Watanzania.ni wabinafs sana na hatupend maendeleo ya wenzetu...mtu hakuhusu na amefika apo kwa juud zake ww unaumia nini?...snsn ametangaza jina la nchi,mpia hamuez bac mzikii.mpeni suport
Kwenye hizo tu walisahau:
Best wedding song: Kimasomaso- Ali Kiba ( Tanzania).
Aaaa si na we muongelee jide,mi namuongelea domo wapi jobless mwenzetu Warumi leo atajibeba hakuna davido hapaa teh teh
Kwenye hizo tu walisahau:
Best wedding song: Kimasomaso- Ali Kiba ( Tanzania).
Mimi sijawah nunua cd ya diamond wala kuudhuria show yake yeyote...nampenda msanii yeyote atakaeweza kuipeperusha vema bendera ya tanzania.....izo hela ni zake na familia yake...huu wivu cjui unatoka wapi...only in tz
Kuna friend yangu mghana juzi kati akawa anaiambia jinsi anvyomkubalika diamond video zake na nyimbo zake na jinsi anavovaa, So big up diamond kazi zako zinakubalika beyond borders of tz.
Unamzungumzia yule mghana dereva wa bodaboda pale tandale kwa tumbo? halafu kile kiflash kajaza nyimbo zote za domo...hawa wakimbizi banah!!!!
Kwenye hizo tu walisahau:
Best wedding song: Kimasomaso- Ali Kiba ( Tanzania).
Hii ni comment kama sikosei ya 5 ktk threads tofauti umeikomalia kimasomaso,mbona husemi mwana dsm?umepanick wewe si bure
Unamzungumzia yule mghana dereva wa bodaboda pale tandale kwa tumbo? halafu kile kiflash kajaza nyimbo zote za domo...hawa wakimbizi banah!!!!