Dina binamu ana cha kujitetea kuwa diamond kashinda kwa East Africa na davido si kashinda kwa West Africa (so hawakuwa category moja) na pia davido ndo Artist of the year so kawakimbiza tu. Hahahaha namsubiri binamu angu aje hapa, na hivi siku hizi anachamba hadi kwa kiingereza. Kudos to diamond and komandoo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Bendera ya nchi, then what? Wee ndo unajiona una uchungu na bendera wakati nchi yenyewe inatafunwa na wengine, chapa mwendo huko!
Kantangazee
kan'tangazeUnaniita ama vipiiii???
Eeeeh mamito Dinazarde
Eti nasikia Ally k kashinda tuzo ila wamegoma kumuandikaa watu wabayaaa kan'tangaze oooh
Mmmh.m mgen maeneo haya mama angu.
Hhhaaa najua umeogopa kuonejaba hater
Mbona kama mnatoka mapovu sana, cha muhimu hapo ni kumpa hongera zake, coz ndio kipindi chake, akija mwingine nae hvyo hvyo! Usiendekeze ushabiki ambao hauna manufaa, pindi inapotokea situation kama hii.... #EID ELFITR
Na mimi nikamshauri kama ni really hater kuhusu diamond kupokea hizo tuzo asinye posta mpaka mwenge pafupi mno atakua mzembe angekunya makumbusho mpak gongolamboto via tandale uzuri hapo atakua amejitendea haki
Haaa haaaaa haaaaa uwiiii mdau umenichekesha sana.
Habari ndio hiyo....diamond is now the best artist in east africa...and hav the best collabo....