Diamond platnumz ameshinda tuzo mbili afrimma

Safari amekabidhiwa chooni?maana last time alipewa chumbani BET(certificate of participation)
 
Diamond hata kama angepewa hizo tuzo za BET na MTV...bado angepondwa,yaaani people sijui zikoje..?!!!

Watanzania.ni wabinafs sana na hatupend maendeleo ya wenzetu...mtu hakuhusu na amefika apo kwa juud zake ww unaumia nini?...snsn ametangaza jina la nchi,mpia hamuez bac mzikii.mpeni suport
 
Tukidis maendeleo ya ndomo ina wauma ila wao wakidis maendeleo ya kiba iko poa tu!!!!! Achen double standards
 
Hongera zake maana wadu wana roho za kwanini wanaumia kuona anapata mafanikio....
 
Who the hell is kiba here...nominee wa tuzo zipi?acha ujinga wewe.....
 
Hongera zake maana wadu wana roho za kwanini wanaumia kuona anapata mafanikio....

Mimi sijawah nunua cd ya diamond wala kuudhuria show yake yeyote...nampenda msanii yeyote atakaeweza kuipeperusha vema bendera ya tanzania.....izo hela ni zake na familia yake...huu wivu cjui unatoka wapi...only in tz
 
Inaonekana hujui unaloongea wewe na hujui chanzo cha diamond kudisiwa. Fuatilia then utajua why nimemtaja kiba..... Acha kutumia tumbo kufikiri
 
Watanzania.ni wabinafs sana na hatupend maendeleo ya wenzetu...mtu hakuhusu na amefika apo kwa juud zake ww unaumia nini?...snsn ametangaza jina la nchi,mpia hamuez bac mzikii.mpeni suport

Tuna ubinafsi usio na maana...yaani kuna mtu akishasikia Jina la diamond na hasira zinamshika hapo hapo..ni matusi na kashfa zinamtoka,hajawahi kukutana nae wala nini.. Inashangaza kweli..
 
Back
Top Bottom