mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Habari ndio hiyo....diamond is now the best artist in east africa...and hav the best collabo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo zipi? BET au MTV?
Diamond hata kama angepewa hizo tuzo za BET na MTV...bado angepondwa,yaaani people sijui zikoje..?!!!
Watanzania.ni wabinafs sana na hatupend maendeleo ya wenzetu...mtu hakuhusu na amefika apo kwa juud zake ww unaumia nini?...snsn ametangaza jina la nchi,mpia hamuez bac mzikii.mpeni suport
Tukidis maendeleo ya ndomo ina wauma ila wao wakidis maendeleo ya kiba iko poa tu!!!!! Achen double standards
Hongera zake maana wadu wana roho za kwanini wanaumia kuona anapata mafanikio....
Watanzania.ni wabinafs sana na hatupend maendeleo ya wenzetu...mtu hakuhusu na amefika apo kwa juud zake ww unaumia nini?...snsn ametangaza jina la nchi,mpia hamuez bac mzikii.mpeni suport