Diamond Platnumz amewakosea nini wanaomshambulia?

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Naomba kujua nini kibaya Diamond Platnumz anakosea tofauti na wasanii wengine?

Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti na watu wengine?
 
Sifa kama zipi na mdomo kivipi ebu elezea?
Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)

Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!

Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!

Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
 
Ni kweli wengi wanomchukia ni ma looser wanaomuonea wivu kwa mafanikio aliyo nayo. Kila analofanya wanaona anawaringishia.
Kwa kigogo ulichotaka kuamdika ni "losers"!Looser ina maana nyingine.Wahanya uri mbuyane?😝😝😝😝😝
 
Icho ndo anakosea?mbona wasaniii wengine wanaachiaga nyimbo kwa kufatana kwanini kwake iwe vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…