Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
kubali kataa Mond baba lao hao wasanii wako watasubiri sana mwisho burundi tu hapo mtabak kulia lia hivo hivo kila sikuHuyo uliyemtaja sijui Mangi ndo Nani? Mwanamziki au waziri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kubali kataa Mond baba lao hao wasanii wako watasubiri sana mwisho burundi tu hapo mtabak kulia lia hivo hivo kila sikuHuyo uliyemtaja sijui Mangi ndo Nani? Mwanamziki au waziri?
Hapo ndipo mashabiki wa domo msipojielewa na mnapojipotezeaga muda humu hivi kuna mtu ktk huu uzi au uzi mwingine wowote hapa jamii forum aliwahi andika msanii fulani ni zaidi ya daimond???kubali kataa Mond baba lao hao wasanii wako watasubiri sana mwisho burundi tu hapo mtabak kulia lia hivo hivo kila siku
Kafanikiwa kumzidi mo?Amefanikiwa sana. Wanaona Wivu
Nikuelezee mimi na wewe upo hapa hapa kwenye mji huu wa matukio?changamsha ndonga mjini hapa sina mda wa kuandika passages kukuelezea kama hujui sisi tunaojua inatosha..sio lazima yote tujueNdo uelezee kawazuia vipi wasifanikiwe
Kama umeweza kuandika hiki unashindwa vipi kuelezea ni kwa namna gani kazuia mafanikio?Nikuelezee mimi na wewe upo hapa hapa kwenye mji huu wa matukio?changamsha ndonga mjini hapa sina mda wa kuandika passages kukuelezea kama hujui sisi tunaojua inatosha..sio lazima yote tujue
Mbona kuna wakati diamond anatoa Ngoma alafu Kiba baadae anatoa mbona Hili uliongelei? Hapa juzi tu katoa Ngoma kesho yake harmonize katoa na yeye ukiachana na hivyo Kiba alifanya interview clouds akitambulisha Ngoma na barnabas karibia interview nzima anampiga majungu mondi au Hili uoni? Me ninavyoona hizo sababu mnazotoa ni zakitoto nyinyi tu kubali mnateseka na mafanikio yake ndio maana mnamchukiaBro.. me ni fan wa good music.. napenda mziki wa Kiba..mziki wa mond.. Harmonize... Nandy, Ruby Africa, Mbosso, Aslay, Kayumba, Christopher Martin, Alaine, Etana, Tarrus Rirey, Cecile, TOK, Chronixx, Romain Virgo, Ziggy & Damian Marley, Bozzi boziana, Aurus Mabele, Shekito, na wengine woote wanaofanya mziki Mzuri.
Asiyejua maana,haambiwi maana we jamaaKama umeweza kuandika hiki unashindwa vipi kuelezea ni kwa namna gani kazuia mafanikio?
Huyo atakuwa ni wale wa Mange kasemaKama umeweza kuandika hiki unashindwa vipi kuelezea ni kwa namna gani kazuia mafanikio?
Uyo jamaa yenu hakuna anaemchukia eti kwa sababu amefanikiwa Kama mnavyozungumza kwani mafanikio yake sisi yanatuhusu nini mzee hata awe na hela Kama Jeff benzos atakua yeye Ila anachukiwa kwa sababu ana kelele za kijinga ,misifa ,ushamba mwingi,bro kwamba kiba akitoa nyimbo basi wasanii wengine pia wasitoe nyimbo mbona akili za kimange hizi mzee na ww n wakushikiwa akili na yule dada mpuuzi embu rudia kusoma ulicho andika sion tofauti na ule utetezi wa yule kibibi
Kelele kama zipi na sifa za kijinga kama zipi ambazo wasanii wote duniani hawafanyiUyo jamaa yenu hakuna anaemchukia eti kwa sababu amefanikiwa Kama mnavyozungumza kwani mafanikio yake sisi yanatuhusu nini mzee hata awe na hela Kama Jeff benzos atakua yeye Ila anachukiwa kwa sababu ana kelele za kijinga ,misifa ,ushamba mwingi,
Kama kilichoandikwa hapo hukielewi tafuta interview za uyo jamaa utaelewa tu .Anyenyekeea vipi na amejibizana na nani kuwa star inamnyima uhuru wa kuongea?
Hii hoja ya kipumbavu sana mnapenda kuileta mashabiki wa bigi .Uyo jamaa yenu hakuna anaemchukia kwa ayo mafanikio yake Ila watu wanachukia ujinga wakeMtanzania masikini kumchukia aliefanikiwa ni kitu cha kawaida
unaijua ratiba yake ya kuachia kazi zake ni ipi, harafu ni sheria number ngapi inamtaka msanii kusubiri kazi ya mwenzake mpaka ifubae ndipo na yeye aachie kazi????Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)
Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!
Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!
Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Baba lao kwenye nini aisee mashabiki wa bigi mna ujinga mwingi Sana Kama uyo bigi mnaemshabikiakubali kataa Mond baba lao hao wasanii wako watasubiri sana mwisho burundi tu hapo mtabak kulia lia hivo hivo kila siku
Hawa watu wanaomshabikia uyo jamaa sijui aliwafanya Nini aisee wanatumia nguvu nyingi Sana kupiga kelele.Kafanikiwa kumzidi mo?
Mbona watu hawajawahi kuanzisha uzi wala kulalamika kwanini mo dewj anachukiwa?
Diamond kashampiga sana vijembe Kiba ndugu halafu em nikumbushe mimi lini diamond alitoa nyimbo then labda kesho yake kiba nae akatoa ila diamond alishafanya ivyo kwa zaidi ya nyimbo 5 za kiba na target amshushe kiba kwenye trending...Mbona kuna wakati diamond anatoa Ngoma alafu Kiba baadae anatoa mbona Hili uliongelei? Hapa juzi tu katoa Ngoma kesho yake harmonize katoa na yeye ukiachana na hivyo Kiba alifanya interview clouds akitambulisha Ngoma na barnabas karibia interview nzima anampiga majungu mondi au Hili uoni? Me ninavyoona hizo sababu mnazotoa ni zakitoto nyinyi tu kubali mnateseka na mafanikio yake ndio maana mnamchukia