Ni sawa na wewe unaendesha gari hovyo barabarani na kukiuka sheria za barabarani kwenye mataa unavuka hata kama taa haziruhusu.
Polisi anakuandikia faini we unasema "hampaswi kunitoza faini raia mwema kama mimi ambaye natoa hadi kodi.
wakati huko mitaani kuna majambazi na vibaka wenye kuua watu ambao mlipaswa kudili nao na kuacha kunisumbua raia mwema kama mimi"
Kwa kweli wahalifu wanaweza wakawepo lakini haiondoi maana kua huja kosea.
Ni kweli wapo wasanii wengi wenye sifa za kijinga, lakini hilo ni swala jingine.
Hoja ya msingi ni je ni kweli jamaa ana hizo tabia kweli au ana onewa?