Diamond Platnumz amewakosea nini wanaomshambulia?

Diamond Platnumz amewakosea nini wanaomshambulia?

Naomba kujua nini kibaya Diamond Platnumz anakosea tofauti na wasanii wengine?

Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti na watu wengine?
Dogo ni mshamba mno yaani ushamba kwao ni chakula mpaka wanakera.
 
Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)

Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!

Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!

Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
ya harmo nae kuachia siku moja na simba mbona mnashangilia? au yeye hapaswi kuchukiwa
 
Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)

Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!

Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!

Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Umeandika upuuzi mtupu, yaani msaani X hatakiwi kutoa wimbo wake kwa sababu msanii Y ametoa wimbo, hii akili ya wapi hii ?
 
Ajishushe..!! Apige kazi bila maneno.. ajinyenyekeze...

Yeye ni Star. Iko hivyo.. na itabaki hivyo, hahitaji kushindana au kujibizana na watu ili tuamini Kama he is great.. Akijushusha tutampenda na tutampandisha.. akijifanya Mungu mtu Tutamchukia na Kumshusha. .

Afanye mziki.. aimbe good music atakua juu tu.
Tangu mzee Maria na Miss Kigogo wameanza kumshambulia kule twita wakisaidiwa na wafuasi wao umewahi kuona Diamond akiwajibu chochote ?
 
Shortly ni tabia za kibinadamu,kuchukia na kupenda pia. wamepingwa na kupongezwa pia watu wengi mno toka huko nyuma. kwaio dont mind ni akili zetu tu na hakuna atakaye toa jibu litakalokuwa na mashiko kwenye kuchukia hilo na hata wenye kupendelea pia.

kwenye industry ya muziki amefanya mengi makubwa na hata ni wasanii wachache tu ambao tunaweza kulinganisha nae kwa alichokifanya lakini haituzuii kumchukia au kumpenda kwa vile tumeumbwa na roho hizo..
 
Mimi binafsi siwezi ingia barabarani kwani naamini tofauti na hilo. Lakini watu hawakuingia barabarani baada ya vitisho kutolewa waziwazi dhidi yao. Ondoa vitisho ili upate jibu sahihi.
Nakushauri uwe muumini wa Tanzania yenye ustawi wa jamii na siyo ustawi wa vyama.
Kama wewe unaishi kwa kulamba viatu vya watu huwezi kuelewa na vizazi vyako vitakuja kulamba viatu vya watu.
Mimi nawafundisha wanangu kujitegemea.
Haki haupewi kama zawadi, ni lazima uipiganie, sasa nyinyi wanaharakati uchwara mnapiga makelele mitandaoni huku mkikutana face to face na mnaowapigia kelele mnaishia kujikesha chekesha tu
 
Kweli ila natamani kujua anachokosea tumuhukumu kwa haki
Kosa kubwa alilofanya Mondi kuwa karibu na Bashite...na Roma alivyotekwa akatoa kawimbo kake nikae kimya huku akidharau vijana wanaozunguka barabarani na bahasha wakitafuta kazi ..mbaya zaidi aliposema yeye ni kada wa CCM wakati 90% ya vijana hawapendi CCM..alitakiwa akafanye kampeni Kama mwanamuziki mfanya biashara sio kusema nafanya kampeni hata bure...
 
Back
Top Bottom