usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Analala kwako?Na wewe ni masikini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analala kwako?Na wewe ni masikini?
Kwa hiyo wewe sababu ya kumchukia mondi ni ipi?Kafanikiwa kumzidi mo?
Mbona watu hawajawahi kuanzisha uzi wala kulalamika kwanini mo dewj anachukiwa?
Analala getoni kwa kibaAnalala kwako?
Kwa hiyo wewe sababu ya kumchukia mondi ni ipi?
Haina ubishi kuwa tumepitia mfumo kandamizi, mfumo onevu na katili kuliko mifumo yote tangu nchi hii iitwe Tanzania. Kipindi hiki wenye uelewa wasio wapiga pambio waloumizwa sana- UTAKATISHAJI FEDHA, UHUJUMU UCHUMI, UCHOCHEZI, ni baadhi ya makosa yaliyokuwa famous sana kwa wakosoaji wa serikali.Kweli ila natamani kujua anachokosea tumuhukumu kwa haki
Kama hata kujua hajui basi kafikia angle mbaya sanaMi sijui we unaona anazo zipi zitaje anawezekana hata yeye hajui kama ni tabiambaya mbaya pengine
Kwahiyo wewe masuala yake binafsi na familia yake unaingilia vipi?Kwani wewe, sababu ya yeye kumchukia baba yake ushawahi jua?
Wewe mbona umeingilia maswala yangu binafsi kwa kuniuliza sababu zangu zinazonifanya nimchukie diamond?Kwahiyo wewe masuala yake binafsi na familia yake unaingilia vipi?
Kwamba wewe ndio unajua ukweli wa Mondi na babaake kuliko Mondi mwenyewe?
Hao wengine hawajaingia anga hizo.Je ni yeye peke yake kwanii yeye tu na walikua wasanii wengi?
Nawe ni wale wale masikini!Haina ubishi kuwa tumepitia mfumo kandamizi, mfumo onevu na katili kuliko mifumo yote tangu nchi hii iitwe Tanzania. Kipindi hiki wenye uelewa wasio wapiga pambio waloumizwa sana- UTAKATISHAJI FEDHA, UHUJUMU UCHUMI, UCHOCHEZI, ni baadhi ya makosa yaliyokuwa famous sana kwa wakosoaji wa serikali.
Hii ilikuwa wazi sana.
Kioo cha jamii kilipaswa kureflect vyema kipindi hiki ili kuwaonya wanaopotoka. Walakini yeye alichagua upande wa dhuluma, walioumia wanamnanga sasa, huwezi kuwaambia waache. Sanasana wewe kaa kimya kama yeye alivyokaa kimya kwenye maumivi ya wengine.
Washindani wake walifanya nini kwanini lawama zote kwake?Haina ubishi kuwa tumepitia mfumo kandamizi, mfumo onevu na katili kuliko mifumo yote tangu nchi hii iitwe Tanzania. Kipindi hiki wenye uelewa wasio wapiga pambio waloumizwa sana- UTAKATISHAJI FEDHA, UHUJUMU UCHUMI, UCHOCHEZI, ni baadhi ya makosa yaliyokuwa famous sana kwa wakosoaji wa serikali.
Hii ilikuwa wazi sana.
Kioo cha jamii kilipaswa kureflect vyema kipindi hiki ili kuwaonya wanaopotoka. Walakini yeye alichagua upande wa dhuluma, walioumia wanamnanga sasa, huwezi kuwaambia waache. Sanasana wewe kaa kimya kama yeye alivyokaa kimya kwenye maumivi ya wengine.
Kwahiyo unamchukia sababu yeye alimchukia babake?Wewe mbona umeingilia maswala yangu binafsi kwa kuniuliza sababu zangu zinazonifanya nimchukie diamond?
Nandy show zake zinaendelea hakuna petition wala nini kwanini diamond tu?Hao wengine hawajaingia anga hizo.
Wakiingia utaona.
Nimeona majina matatu ya wasanii;
Alikiba
Diamond
Harmonize
Wametajwa katika kudisiwa na jamii.
Hata Nandy sasa ajiandae kupata pingamizi kama hilo.
Na yeye watu wanamuandama kwa sababu ndiye msanii mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa so akifanya jambo yeye linaweza kuleta mabadiliko chanya kuliko akifanya Ben pol,au Snura kwahiyo alipaswa kuwa front kwa namna yake...Hao wengine hawajaingia anga hizo.
Wakiingia utaona.
Nimeona majina matatu ya wasanii;
Alikiba
Diamond
Harmonize
Wametajwa katika kudisiwa na jamii.
Hata Nandy sasa ajiandae kupata pingamizi kama hilo.
Mimi binafsi siwezi ingia barabarani kwani naamini tofauti na hilo. Lakini watu hawakuingia barabarani baada ya vitisho kutolewa waziwazi dhidi yao. Ondoa vitisho ili upate jibu sahihi.Nawe ni wale wale masikini!
Hicho kichaka cha haki mnaonesha jinsi gani mlivyo wajinga!
.
Lisu aliwambia ingieni barabarani mkaufyata sasa mlitaka mondi ndio awasemee?
Simba na Yanga zote wadhamini wao ni ccm mbona sijaona mkijitoa kushabikia hizo timu?
Upumbavu tu,!
kwako wewe chuki ni tabia nzuri au mbaya?Kwahiyo unamchukia sababu yeye alimchukia babake?
Ngumi zikirushwa hewani zinamchosha mrusha ngumi mwenyewe.Washindani wake walifanya nini kwanini lawama zote kwake?
Swali kama hili anapaswa kuuliza mpumbavu.Nandy show zake zinaendelea hakuna petition wala nini kwanini diamond tu?
Naomba kujua nini kibaya diamond anakosea tofauti na wasanii wengine?
Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti na watu wengine