Diamond Platnumz amewakosea nini wanaomshambulia?

Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)

Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!

Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!

Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Anatakiwa awe vipi ili asichukiwe?
 
bro kwamba kiba akitoa nyimbo basi wasanii wengine pia wasitoe nyimbo mbona akili za kimange hizi mzee na ww n wakushikiwa akili na yule dada mpuuzi embu rudia kusoma ulicho andika sion tofauti na ule utetezi wa yule kibibi
 
Anatakiwa awe vipi ili asichukiwe?
Ajishushe..!! Apige kazi bila maneno.. ajinyenyekeze...

Yeye ni Star. Iko hivyo.. na itabaki hivyo, hahitaji kushindana au kujibizana na watu ili tuamini Kama he is great.. Akijushusha tutampenda na tutampandisha.. akijifanya Mungu mtu Tutamchukia na Kumshusha. .

Afanye mziki.. aimbe good music atakua juu tu.
 
bro kwamba kiba akitoa nyimbo basi wasanii wengine pia wasitoe nyimbo mbona akili za kimange hizi mzee na ww n wakushikiwa akili na yule dada mpuuzi embu rudia kusoma ulicho andika sion tofauti na ule utetezi wa yule kibibi
Huyo uliyemtaja sijui Mangi ndo Nani? Mwanamziki au waziri?
 
bro kwamba kiba akitoa nyimbo basi wasanii wengine pia wasitoe nyimbo mbona akili za kimange hizi mzee na ww n wakushikiwa akili na yule dada mpuuzi embu rudia kusoma ulicho andika sion tofauti na ule utetezi wa yule kibibi
Ndo nashangaa isitoshe wasanii kibao wanatoaga nyimbo kwa kufatana.

Nilishangaa hata akina lema wakati wasanii karibia wote walifanya kampeni
 
Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)

Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!

Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!

Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Kwa hiyo ulitaka asubiri Kwanza vip Kiba angetoa wimbo kila wiki, diamond azidi kusubir , huo ujinga ni wa kiwango cha SGR
 
Ajishushe..!! Apige kazi bila maneno.. ajinyenyekeze...

Yeye ni Star. Iko hivyo.. na itabaki hivyo, hahitaji kushindana au kujibizana na watu ili tuamini Kama he is great.. Akijushusha tutampenda na tutampandisha.. akijifanya Mungu mtu Tutamchukia na Kumshusha. .

Afanye mziki.. aimbe good music atakua juu tu.
Anyenyekeea vipi na amejibizana na nani kuwa star inamnyima uhuru wa kuongea?
 
Kwa hiyo ulitaka asubiri Kwanza vip Kiba angetoa wimbo kila wiki, diamond azidi kusubir , huo ujinga ni wa kiwango cha SGR
Basi aendelee hivi anavyofanya saivi.. atapendwa sana.. atoe nyimbo kila baada ya masaa 24.. atakua mungu kabisa.
 
Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)

Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!

Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!

Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Wewe utakuwa ni fan wa Kiba kwahiyo asitoe Ngoma kwasababu msanii mwingine katoa Ngoma
 
bro kwamba kiba akitoa nyimbo basi wasanii wengine pia wasitoe nyimbo mbona akili za kimange hizi mzee na ww n wakushikiwa akili na yule dada mpuuzi embu rudia kusoma ulicho andika sion tofauti na ule utetezi wa yule kibibi
Diamond anamchukia Ali kiba ndo maana Ali akitrend kwa nyimbo na yeye anatoa nyimbo aki target kwamba ata trend ili amshushe,jamaa anachukia wasanii wenzie hasa hawa wenye timu kubwa kama Kiba ndo maana na yeye watu wanamchukia mnampenda sana ndo maana hayo hamuyaoni kwani MAPENZI NI UPOFU
 
Wewe utakuwa ni fan wa Kiba kwahiyo asitoe Ngoma kwasababu msanii mwingine katoa Ngoma
Bro.. me ni fan wa good music.. napenda mziki wa Kiba..mziki wa mond.. Harmonize... Nandy, Ruby Africa, Mbosso, Aslay, Kayumba, Christopher Martin, Alaine, Etana, Tarrus Rirey, Cecile, TOK, Chronixx, Romain Virgo, Ziggy & Damian Marley, Bozzi boziana, Aurus Mabele, Shekito, na wengine woote wanaofanya mziki Mzuri.
 
Diamond anamchukia Ali kiba ndo maana Ali akitrend kwa nyimbo na yeye anatoa nyimbo aki target kwamba ata trend ili amshushe,jamaa anachukia wasanii wenzie hasa hawa wenye timu kubwa kama Kiba ndo maana na yeye watu wanamchukia mnampenda sana ndo maana hayo hamuyaoni kwani MAPENZI NI UPOFU
Umeelezea vizuri Mkuu! Loud and Clear..!!
 
Back
Top Bottom