Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama inauma chomoaHuyu bwana mdogo alikuwa na tofauti na baba yake mzazi vipi ameshaanza kumsaidia?last time kumsoma huyo mzee alikuwa anahitaji matibabu ya miguu.
Nakumbuka alifikia hata kwa kushirikiana na mama yake kutafuta baba mwengine na kumpachika ubaba ili amkwepe huyo aliyemtoa kwenye kiuno chake hope sasa hivi all is well kwa upande huo.
Hakuna Camera kule.Huyu bwana mdogo alikuwa na tofauti na baba yake mzazi vipi ameshaanza kumsaidia?last time kumsoma huyo mzee alikuwa anahitaji matibabu ya miguu.
Nakumbuka alifikia hata kwa kushirikiana na mama yake kutafuta baba mwengine na kumpachika ubaba ili amkwepe huyo aliyemtoa kwenye kiuno chake hope sasa hivi all is well kwa upande huo.
Mkuu umenisoma ukanielewa lakini?Kama inauma chomoa
Kweli maisha bila unafiki hayaendi.Huyu bwana mdogo alikuwa na tofauti na baba yake mzazi vipi ameshaanza kumsaidia?last time kumsoma huyo mzee alikuwa anahitaji matibabu ya miguu.
Nakumbuka alifikia hata kwa kushirikiana na mama yake kutafuta baba mwengine na kumpachika ubaba ili amkwepe huyo aliyemtoa kwenye kiuno chake hope sasa hivi all is well kwa upande huo.
Sasa kama upo nje ya mpira umeleta wowowo lako jukwaa la sports kutafuta nini?Mkuu umenisoma ukanielewa lakini?
Mimi nipo nje kabisa ya mpira ila wewe umenijibu kishabiki.
Anza kuchomoa mwiko nyuma yako.Kama inauma chomoa
Kwa content niliyokuwa nimemaanisha kwa mdau hapo juu ilikuwa nje ya mpira na mpira ni sehemu ya jamii havitenganishiki.Sasa kama upo nje ya mpira umeleta wowowo lako jukwaa la sports kutafuta nini?
Mnafki.
Tajiri ile ni stail tu, you see these Balenciaga zinaitwa Golden Goose zinauzwa dola 819 mzee wangu, hizo viatu zinaweza zikawa mpya...Asisahau kutenga fedha kwa ajili ya viatu
Mlioweza kutambua alichovaa domo nmiambia ni kanzu au ni msuruwale wa kibitongaMkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga Djigui Diarra.
Diamond alitoa ahadi hiyo wakati klabu ya Yanga ikichuana na USM Alger katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho ambapo katika mchezo huo Golikipa huyo aliondoka na Tuzo ya Mchezaji bora wa Mechi.
Diamond amemkabidhi kipa Diarra kiasi cha Dola za kimarekani 4200 sawa na zaidi ya milioni 10 za Tanzania
Balenciaga anauza hii kiatu dola 625 kama sikosei, so ile ni stail tu mzee unanunua viatu vipya ila vimechakaa, huyu kipa wetu ana culture ya Mali na mali ni karibu na Morocco na Morocco ni karibu na spain, so sio tatizo. Thats a very expensive Balenciaga shoe.. Yule ni superstar anavaa designer cloths tu....Asisahau kutenga fedha kwa ajili ya viatu
bila shaka hii ndio id ya huyo baba humu jfHuyu bwana mdogo alikuwa na tofauti na baba yake mzazi vipi ameshaanza kumsaidia?last time kumsoma huyo mzee alikuwa anahitaji matibabu ya miguu.
Nakumbuka alifikia hata kwa kushirikiana na mama yake kutafuta baba mwengine na kumpachika ubaba ili amkwepe huyo aliyemtoa kwenye kiuno chake hope sasa hivi all is well kwa upande huo.