Diamond Platnumz amzawadia Diara milioni 10

Huyu bwana mdogo alikuwa na tofauti na baba yake mzazi vipi ameshaanza kumsaidia?last time kumsoma huyo mzee alikuwa anahitaji matibabu ya miguu.

Nakumbuka alifikia hata kwa kushirikiana na mama yake kutafuta baba mwengine na kumpachika ubaba ili amkwepe huyo aliyemtoa kwenye kiuno chake hope sasa hivi all is well kwa upande huo.
 
Kama inauma chomoa
 
Hakuna Camera kule.

Mbele ya Camera ni watu waungwana sana hao
 
Kweli maisha bila unafiki hayaendi.
 
Sasa kama upo nje ya mpira umeleta wowowo lako jukwaa la sports kutafuta nini?

Mnafki.
Kwa content niliyokuwa nimemaanisha kwa mdau hapo juu ilikuwa nje ya mpira na mpira ni sehemu ya jamii havitenganishiki.
 
Asisahau kutenga fedha kwa ajili ya viatu
Tajiri ile ni stail tu, you see these Balenciaga zinaitwa Golden Goose zinauzwa dola 819 mzee wangu, hizo viatu zinaweza zikawa mpya...
 

Attachments

  • IMG_20230605_144629.jpg
    131 KB · Views: 3
Mlioweza kutambua alichovaa domo nmiambia ni kanzu au ni msuruwale wa kibitonga
 
Asisahau kutenga fedha kwa ajili ya viatu
Balenciaga anauza hii kiatu dola 625 kama sikosei, so ile ni stail tu mzee unanunua viatu vipya ila vimechakaa, huyu kipa wetu ana culture ya Mali na mali ni karibu na Morocco na Morocco ni karibu na spain, so sio tatizo. Thats a very expensive Balenciaga shoe.. Yule ni superstar anavaa designer cloths tu....
 

Attachments

  • IMG_20230605_144955.jpg
    181.9 KB · Views: 3
Watu wanatrend na trend iloyopo...trend kwa sasa ni kuwafariji Utopolo...watu wanapita humo humo
 
bila shaka hii ndio id ya huyo baba humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…