Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan sjui anggenda shule kama wengine ingekuwaje aisee anaijua hera zaidi ya mchaga.. Radio yake tu imeshaanzq kupata wadhamini matangazo kama yote wakat hata haijaanza kurusha vipindi zaidi ya miziki tu sjuu ikiaanza kurusha vipindi itakuwajehuyo mtoto wa tandale hafai.. ruge hana hamu nae.. kwanza anaijua hela balaa.. na shule hajaenda
Wala hujakosea mkuuuNadhani kwa sasa Dimond ndio mtu maarufu Zaidi afrika
Analipiza au japo yy. Mwenyewe huwa anakataa kuwa hajaanzisha media ili kukompea au kuua nyingine yy hajaja kushindana amekuja kutafuta mkate wake ndo anavoadai ila najua ni mjanja sana huyo kijana anajua kabisa atawaua baadhi ya media ila akiilizwa anajibu vizuri wala haonyeshi kuwa na bifu na yeyote yaani jamaa ana akili mpaka anaboaMkuu kijana yupo vizuri na hao clouds wanamchukia sana kwa sasa acha awanyooshe
Wewe ni bwege kweli!....kwa hiyo angejifungia chumbani na kuimba nyimbo nzuri bila watu kumsapoti kwa kununua, na kwenda kwenye matamasha aliyopo angefika hapo alipo?Kijana kafika kwa juhudi zake binafsi, nyimbo nzuri ndio zimemfikisha
Mkuu kukosea kwa mmoja acha kujumlisha watu wote unatukosea sana kijanaWewe ni bwege kweli!....kwa hiyo angejifungia chumbani na kuimba nyimbo nzuri bila watu kumsapoti kwa kununua, na kwenda kwenye matamasha aliyopo angefika hapo alipo?
Hivi vijana wa siku hizi uwezo wa kuchakata mambo umewapotelea wali?
Shenzi kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂 samahani Mtu mzima zaidi yangu!Mkuu kukosea kwa mmoja acha kujumlisha watu wote unatukosea sana kijana
Kajambe kuleWewe ni bwege kweli!....kwa hiyo angejifungia chumbani na kuimba nyimbo nzuri bila watu kumsapoti kwa kununua, na kwenda kwenye matamasha aliyopo angefika hapo alipo?
Hivi vijana wa siku hizi uwezo wa kuchakata mambo umewapotelea wali?
Shenzi kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii comment imeandikwa na Me au Ke?!!Kajambe kule
Ni 5.6ml.....sio 5.4mlJana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.
Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza
Kinachonifurahisha Wabongo huwa wanalazimisha haya mambo huku wenzao wanapiga pesa!Naona mnaulazimisha sana ugomvi na clouds, Unafikili diamond anafanya hayo kwa sababu ya ku competit na clouds? Mbona hayo mapokezi alikuwa anayapata tangu enzi hizo shows zake zinaratibiwa na kina ruge? Tatizo la waTanzania kila jambo tunalichukua kwa kushindanisha. Mala ya kwanza ilikuwa ni diamond na alikiba, alikiba kakaa pembeni sasa ni clouds. Bado sijajua wanashindana kwenye nini. Labda mtoa mada utusaidie.
Hapa ngoja na mie nitie neno... maana inaonesha umeonesha dharau ya hali ya juu yenye kashfa na kejeli kibao... hebu turudi nyuma kidogo... clouds media imeanza mwaka 1999... diamond katoka kimuziki mwaka 2009... miaka kumi zaid... hapo nyuma inamaana clouds walishindwa nini kumtengeneza msanii star zaidi ya diamond??? Kuna THT inamilikiwa na haohao clouds, wameshindwaje kumtengeneza msanii kama diamond??? Kitu kama kibovu hata ukitangaze kivipi hakiwezi kutoka... hatukatai kuwa n kweli diamond kwa kiasi fulani kabustiwa na clouds lakini hata clouds yenyewe imebustiwa sana na diamond... kipindi kile hawajakorofishana, diamond akitangaza kufanya interview Tanzania yote inasimama na kuitegea masikio clouds.... sahv hiyo jeuri hawanaWewe ni bwege kweli!....kwa hiyo angejifungia chumbani na kuimba nyimbo nzuri bila watu kumsapoti kwa kununua, na kwenda kwenye matamasha aliyopo angefika hapo alipo?
Hivi vijana wa siku hizi uwezo wa kuchakata mambo umewapotelea wali?
Shenzi kabisa😀😀😀😀😀
mtaa umemfundisha mengi kuliko shulehuyo mtoto wa tandale hafai.. ruge hana hamu nae.. kwanza anaijua hela balaa.. na shule hajaenda