Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media

Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media

Hapa ngoja na mie nitie neno... maana inaonesha umeonesha dharau ya hali ya juu yenye kashfa na kejeli kibao... hebu turudi nyuma kidogo... clouds media imeanza mwaka 1999... diamond katoka kimuziki mwaka 2009... miaka kumi zaid... hapo nyuma inamaana clouds walishindwa nini kumtengeneza msanii star zaidi ya diamond??? Kuna THT inamilikiwa na haohao clouds, wameshindwaje kumtengeneza msanii kama diamond??? Kitu kama kibovu hata ukitangaze kivipi hakiwezi kutoka... hatukatai kuwa n kweli diamond kwa kiasi fulani kabustiwa na clouds lakini hata clouds yenyewe imebustiwa sana na diamond... kipindi kile hawajakorofishana, diamond akitangaza kufanya interview Tanzania yote inasimama na kuitegea masikio clouds.... sahv hiyo jeuri hawana
Kwa kumalizia ni kwamba mashabiki alionao mond hawajatokana na clouds bali ni juhudi zake katika kazi na kujituma.... na pia ni kutokana na kuwa na mameneja makini na wenye heshima hapa bongo na nje ya bongo... mkubwa fella wa TMK na Babu tale wa TIPTOP....
Nawasilisha
"....hatukatai kuwa n kweli diamond kwa kiasi fulani kabustiwa na clouds..." Je nahitajika kusema tena?

Tatizo ninyi watoto wa juzi mnajibu kwa jazba bila kusoma kwa makini mwenzio kasema nini!

Mtoa mada kasema hakuna msanii ambaye amepat umaarufu bila kupitia Clouds!....maana yake nini?...ni kwamba kupitia beef au sapoti yao hakuna mwana bongofleva ambaye ameupata umaarufu pasipo kuhusishwa au kujihusisha na Clouds!

Ninyi mnapinga. Mnaona watu wana muonea wivu huyo bwana. Hapana. Jifunzeni kusoma mkiwa mmetulia!
Wahenga walisha sema;

Never ignore, never refuse to see what may be thought against your thought...' [F. Nietzsche]
 
Mkuu kijana yupo vizuri na hao clouds wanamchukia sana kwa sasa acha awanyooshe
Nimekuuliza swali, diamond anafanya shows kwa sababu anachukiwa na clouds? Anafanya shows zake ili awanyooshe clouds? Je asingechukiwa na clouds asingefanya haya? Hayo mapokezi ya diamond nimeanza kuyaona tokea ana nyimbo ya my number one. Sijajua kwa nini sasa hivi mna ya relate na clouds.
 
Hapa ngoja na mie nitie neno... maana inaonesha umeonesha dharau ya hali ya juu yenye kashfa na kejeli kibao... hebu turudi nyuma kidogo... clouds media imeanza mwaka 1999... diamond katoka kimuziki mwaka 2009... miaka kumi zaid... hapo nyuma inamaana clouds walishindwa nini kumtengeneza msanii star zaidi ya diamond??? Kuna THT inamilikiwa na haohao clouds, wameshindwaje kumtengeneza msanii kama diamond??? Kitu kama kibovu hata ukitangaze kivipi hakiwezi kutoka... hatukatai kuwa n kweli diamond kwa kiasi fulani kabustiwa na clouds lakini hata clouds yenyewe imebustiwa sana na diamond... kipindi kile hawajakorofishana, diamond akitangaza kufanya interview Tanzania yote inasimama na kuitegea masikio clouds.... sahv hiyo jeuri hawana
Kwa kumalizia ni kwamba mashabiki alionao mond hawajatokana na clouds bali ni juhudi zake katika kazi na kujituma.... na pia ni kutokana na kuwa na mameneja makini na wenye heshima hapa bongo na nje ya bongo... mkubwa fella wa TMK na Babu tale wa TIPTOP....
Nawasilisha
Bosi, Ruge na kusaga walikuwa ndio masterminder chini ya carpet, n i bet mpaka sasa mafanikio ya diamond ni kusaga, ndio maana sikushangaa hata kusaga kuhusika na wasafi tv. Kumbuka diamond alianza na papaa misifa bila mafanikio, akaenda kwa raqey bila ya mafanikio. Baada ya kuongeza wigo wa ma menagers include ruge na kusaga, ukiachana na hao unaowajua wewe ndio mwanzo wa mafanikio. Tofauti yake na wasanii wengine ni kwamba diamond ana big dreams na anapush harder, but anayefanikisha ndoto zake ni huyo huyo kusaga, na kusaga anaingiza mkate wake hapo hapo. Nb ukimuongelea kusaga ni umeiongelea clouds.
 
Kinachonifurahisha Wabongo huwa wanalazimisha haya mambo huku wenzao wanapiga pesa!
Ndio hayo unajua kuna bifu mwisho boss wa Clouds ndio anashare nyingi Wasafi tv!
Bro, inashangaza sometimes wabongo sijui tunatumia nini kifikiri. Yaani Mwenye share nyingi clouds ndio mwenye share nyingi wasafi alafu huyo huyo atumike kuihujumu clouds, na clouds ndio inampa ugali mzuri zaidi.
 
Nadhani kwa sasa Dimond ndio mtu maarufu Zaidi afrika

1544286772157.png
1544286772157.png
1544286772157.png
1544286772157.png

Dah hatari kweli, Nahisi Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa wajinga Duniani.
 
Mkuu kijana yupo vizuri na hao clouds wanamchukia sana kwa sasa acha awanyooshe
Mm siku nimejua mmiliki Wa wasafi TV ni mke Wa kusaga hapo ndo nilipo choka wallahi. Na ndo mmiliki Wa primetime promotions.unategemea kuna ugonvi halisi hapo
 
Wewe unatumia umber rutty kuwaza. Unacompare mtu na company. Mbuz ww
 
Nadhani kwa sasa Dimond ndio mtu maarufu Zaidi afrika
Mahaba Niue...Mond anaitangaza vizuri Bongo lakini hawezi kufikia level ya Wizkid...Wizkid alifanya maajabu London kwa kujaza O2 Arena ( capacity 20,000)...hakuna mwafrika atakayeweza kufanya hivyo...
 
Yaan sjui anggenda shule kama wengine ingekuwaje aisee anaijua hera zaidi ya mchaga.. Radio yake tu imeshaanzq kupata wadhamini matangazo kama yote wakat hata haijaanza kurusha vipindi zaidi ya miziki tu sjuu ikiaanza kurusha vipindi itakuwaje
waoga ndio wanaoenda shule..ukamwambie Jay Z au Pdidy habari ya shule wakati wanaziona pesa mtaani...wasafi media ya Kusaga ndio mwenye hisa kubwa..
 
"....hatukatai kuwa n kweli diamond kwa kiasi fulani kabustiwa na clouds..." Je nahitajika kusema tena?

Tatizo ninyi watoto wa juzi mnajibu kwa jazba bila kusoma kwa makini mwenzio kasema nini!

Mtoa mada kasema hakuna msanii ambaye amepat umaarufu bila kupitia Clouds!....maana yake nini?...ni kwamba kupitia beef au sapoti yao hakuna mwana bongofleva ambaye ameupata umaarufu pasipo kuhusishwa au kujihusisha na Clouds!

Ninyi mnapinga. Mnaona watu wana muonea wivu huyo bwana. Hapana. Jifunzeni kusoma mkiwa mmetulia!
Wahenga walisha sema;

Never ignore, never refuse to see what may be thought against your thought...' [F. Nietzsche]
😂😂😂😂 broe punguza kupaniki asee... ungenielewa nilichokwambia nadhani usingetapika haya yote unayotapika.... wakina dully sykes enzi hizo wanawika sidhani km walishikwa mkono na clouds kuliko EATV.... yaani naanza kuuona uzee wako wa kijinga sana.... ila bila kusahau kuwa hata wajinga huwa wanazeeka nadhani mmoja wapo ndo wewe.... kwa imani yangu nasema hata kama clouds isingekuepo mond angeng'aa tu... kwan kuna wasanii wangapi bongo waling'aa bila ya hao clouds? Acheni kuleta mambo ya kuabudu media hayo yashapitwa na wakati jombaa.... kipaji kinabeba sana siku hizi kuliko brabraa...
Ushauri:- Jitahid uwe unafikiria angalau kidogo maana unatia aibu
 
Bosi, Ruge na kusaga walikuwa ndio masterminder chini ya carpet, n i bet mpaka sasa mafanikio ya diamond ni kusaga, ndio maana sikushangaa hata kusaga kuhusika na wasafi tv. Kumbuka diamond alianza na papaa misifa bila mafanikio, akaenda kwa raqey bila ya mafanikio. Baada ya kuongeza wigo wa ma menagers include ruge na kusaga, ukiachana na hao unaowajua wewe ndio mwanzo wa mafanikio. Tofauti yake na wasanii wengine ni kwamba diamond ana big dreams na anapush harder, but anayefanikisha ndoto zake ni huyo huyo kusaga, na kusaga anaingiza mkate wake hapo hapo. Nb ukimuongelea kusaga ni umeiongelea clouds.
Hao unaowataja kwanini wameshindwa kumtoa msanii mwingine zaid ya diamond? Ndo tunaporudi kulekule kuwa nyota yake inang'aa ndo maana tokea wimbo wake wa kwanza hadi leo hajashuka... clouds hawakumwibua mond, bali walimkuta keshakuwa maarufu....
Kuhusu mke wa kusaga kuwa na.share wasafi tv sio kitu cha ajabu.... wale ni watu wanaodeal na media... ni sawa na mark zuckerberg kuwa na share fb, insta na wasap ambazo kila siku zinakompete nakila moja inaumiliki unaojitegemea... na kusaga kuhusika katika media za mondi haimaanishi yeye ndo yupo nyuma yake... mambo mangapi mond ameyafanya yeye mwenyewe? Label ya WCB kaianzisha mwenyewe, wasafi media kaianzisha mwenyewe, chibu perfume, zoom production, wasafi.com, karanga, nk.... na hivo vyote kaingia partinerships na watu mblimbali sababu hatujasikia km anamiliki kiwanda... lakin uzuri vinatumia logo yake basi ana share yake pale... ni sawa na Cristiano Ronaldo na ile logo yake ya CR7, inafanya kazi kubwa sana na makampuni makubwa... na kila kitu kinachotoka chini ya cr7 bac jua na ronaldo anahusika moja kwa moja....
Aaaah bhana muwage na nyie mnafikiria kidogo... sio kila kitu kutafuniwa hadi maana ya great thinkers inapotea... aaagggrrrr 😡😡👹👹
 
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.

Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza
Followersw Diamond platnumz ni 5,600,000
 
Hapo dudu baya anajidai amerudi kwenye game baada ya miaka kumi na mbili kubaniwa na cloudz fm..... Jamaa linachekesha kweli,, kwa ngoma IP alitoa akabaniwa piA kasahau kuwa kinachombeba now ni shoo za wasafi festival siku wakimtema atarudi Kuchunga punda
 
Nilicheka alivyosema hatuendi WASAFI Festival na Chid Benz kwasababu mteja atawaibia watu simu zao.
 
Naona mnaulazimisha sana ugomvi na clouds, Unafikili diamond anafanya hayo kwa sababu ya ku competit na clouds? Mbona hayo mapokezi alikuwa anayapata tangu enzi hizo shows zake zinaratibiwa na kina ruge? Tatizo la waTanzania kila jambo tunalichukua kwa kushindanisha. Mala ya kwanza ilikuwa ni diamond na alikiba, alikiba kakaa pembeni sasa ni clouds. Bado sijajua wanashindana kwenye nini. Labda mtoa mada utusaidie.
Ruge asha wasimamie wasanii wengi lile Jumba La THT ni Msanii gani ashawahi fika hata robo ya mafanikio ya Domo
 
Back
Top Bottom