mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Bosi usipanic, twende taratibu, Hata messi ni mchezaji bora zaidi duniani, but tunaamini kuwa barcelona ina mchango mkubwa kufika hapo. Kusema angefanikiwa kuwa top player hata bila barcelona zitakuwa ni perception, yaani ni null au unproven. Au kusema kama barcelona wanaweza kutengeneza vipaji wamtengeneze messi mwingine nitakushangaa pia. Talent ni kama moto tu, unahitaji chanzo ili uwake, bila hivyo unaweza ukaenda kaburini na kipaji chako bila mafanikio, 5years back kulikuwa na gwiji mmoja tu wa masuala ya burudani, Ruge mutahaba, ili ufanikiwe kwenye media ni lazima ahusike, utake usitake ukweli ndio huo. Labda uwe umeanza kufuatilia burudani mwaka jana,Hao unaowataja kwanini wameshindwa kumtoa msanii mwingine zaid ya diamond? Ndo tunaporudi kulekule kuwa nyota yake inang'aa ndo maana tokea wimbo wake wa kwanza hadi leo hajashuka... clouds hawakumwibua mond, bali walimkuta keshakuwa maarufu....
Kuhusu mke wa kusaga kuwa na.share wasafi tv sio kitu cha ajabu.... wale ni watu wanaodeal na media... ni sawa na mark zuckerberg kuwa na share fb, insta na wasap ambazo kila siku zinakompete nakila moja inaumiliki unaojitegemea... na kusaga kuhusika katika media za mondi haimaanishi yeye ndo yupo nyuma yake... mambo mangapi mond ameyafanya yeye mwenyewe? Label ya WCB kaianzisha mwenyewe, wasafi media kaianzisha mwenyewe, chibu perfume, zoom production, wasafi.com, karanga, nk.... na hivo vyote kaingia partinerships na watu mblimbali sababu hatujasikia km anamiliki kiwanda... lakin uzuri vinatumia logo yake basi ana share yake pale... ni sawa na Cristiano Ronaldo na ile logo yake ya CR7, inafanya kazi kubwa sana na makampuni makubwa... na kila kitu kinachotoka chini ya cr7 bac jua na ronaldo anahusika moja kwa moja....
Aaaah bhana muwage na nyie mnafikiria kidogo... sio kila kitu kutafuniwa hadi maana ya great thinkers inapotea... aaagggrrrr 😡😡👹👹