Diamond Platnumz anahitaji kukua

Diamond Platnumz anahitaji kukua

Na hapa ndo Tatizo lilipo, kutaka kila mtanzania amlilie luge hadharani.

Tufike mahali tukubaliane kutokubaliana.hakuna mtu alipanga mstari kupiga kura ya kumuweka Dai hapo alipo.bali asili ya dunia ndo imemfanya hivyoo alivyo.

Tusimpangiee Jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ni wanafki sanaaa.
Kuna vitu vingine havimake sense hata kidogo, kama walikuwa na uadui kabla ya kifo cha Ruge na hawakuwahi kuombana msamaha haina tija ya kwenda, halfu unaenda kumpamba marehemu eti alikuwa mtu mwema kwako na sifa kedekede. Jamani tuache unafiki, nina uhakika hata siku Diamond akianguka atazikwa na maelefu kwa kigezo kwamba ameisaidia jamii na kuwatoa vijana wengi kwenye music industry. Acheni watu waishi waonavyo na sio muonavyo watu, kwani huyu diamond amehudhuria misiba mingapi? Adui atabaki kuwa adui tu kama hakuomba amani, je kama Osama angekufa kifo cha kawaida then rais yeyote wa Marekani akahudhuria msiba wake, wamarekani wangemuelewa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka huyo Ruge anakufa hajawahi ku-revoke AMRI yake ya Vyombo vya Clouds Media kumpa ushirikiano Diamond na Wasafi kwa ujumla katika kazi zao za sanaa, nilitegemea katika ile death bed pale Sauzi angemuomba hata msamaha

Diamond haitaji kuwa mnafiki, na pia sioni umuhimu au ulazima wa Diamond kuwa ndio centre of attention ya msiba wa Ruge, muacheni Ruge apewe heshima yake ya mwisho na watu wake aliochagua kushirikiana nao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi hua nakasirika sana mtu kusema flani kapitia kwa flani ndio akatoka..!Napinga kwa herufi kubwa.KUTOKA ni kipaji cha mtu.So ukiona msanii katoka ni kipaji chake na juhudi zake.Hapo mnaposema kapitia kwa nani sijui kwa nani!Hao ni kama daraja tu na hata asingepitia kwa huyo tokana na juhudi zake angetoka tu sema labda angechelewa "you never know"..
Kwa akili za kawaida mtu akifa hana thamani tena.Uende msiban ama usiende lazima atazikwa.
Nashaanga sana kuona mtu analaum flani hajaenda msibani badala ya kulaumu kwa nini hakwenda wakati akiwa mgonjwa.Upendo wa kweli au hata ukiwa wa kinafiki ni kuoneshana tukiwa hai.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwalimu wa primary alikua hapendi kujisifia pale ambapo wanafunzi wake wengi wanapofaulu maana yeye alisema kama mtu kafaulu basi uwezo anao, ilikua miaka ya zamani ambapo kufaulu ilikua shida sana
Kimsingi kama mtu hana uwezo hawezi kufika mbali hata kidogo, kuna wangapi walibebwa na walishindwa kubebeka
Mimi sio shabiki wa diamond lakini lawama anazopewa hazina msingi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni unafiki, kwenda msibani huyo Diamond kutaongeza nn? Mgogoro wao utakuwa umetatulika?
Mnajua walikorofishana nn?
Poor Africans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu wa primary alikua hapendi kujisifia pale ambapo wanafunzi wake wengi wanapofaulu maana yeye alisema kama mtu kafaulu basi uwezo anao, ilikua miaka ya zamani ambapo kufaulu ilikua shida sana
Kimsingi kama mtu hana uwezo hawezi kufika mbali hata kidogo, kuna wangapi walibebwa na walishindwa kubebeka
Mimi sio shabiki wa diamond lakini lawama anazopewa hazina msingi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa akili zako za ajabu sana,hivi msiba umeisha? Diamond akija kwenda kuzika huu uzi utafuta? By the way kwan diamond ni nan?

Hivi zaman kabla ya instagram tulkua hatuzik?

Yani umechoronga uzi kama mangekimambi...

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mi hua nakasirika sana mtu kusema flani kapitia kwa flani ndio akatoka..!Napinga kwa herufi kubwa.KUTOKA ni kipaji cha mtu.So ukiona msanii katoka ni kipaji chake na juhudi zake.Hapo mnaposema kapitia kwa nani sijui kwa nani!Hao ni kama daraja tu na hata asingepitia kwa huyo tokana na juhudi zake angetoka tu sema labda angechelewa "you never know"..
Kwa akili za kawaida mtu akifa hana thamani tena.Uende msiban ama usiende lazima atazikwa.
Nashaanga sana kuona mtu analaum flani hajaenda msibani badala ya kulaumu kwa nini hakwenda wakati akiwa mgonjwa.Upendo wa kweli au hata ukiwa wa kinafiki ni kuoneshana tukiwa hai.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app[/Q

TALENT haibebwiii naungana Na we mkuu
 
Mi hua nakasirika sana mtu kusema flani kapitia kwa flani ndio akatoka..!Napinga kwa herufi kubwa.KUTOKA ni kipaji cha mtu.So ukiona msanii katoka ni kipaji chake na juhudi zake.Hapo mnaposema kapitia kwa nani sijui kwa nani!Hao ni kama daraja tu na hata asingepitia kwa huyo tokana na juhudi zake angetoka tu sema labda angechelewa "you never know"..
Kwa akili za kawaida mtu akifa hana thamani tena.Uende msiban ama usiende lazima atazikwa.
Nashaanga sana kuona mtu analaum flani hajaenda msibani badala ya kulaumu kwa nini hakwenda wakati akiwa mgonjwa.Upendo wa kweli au hata ukiwa wa kinafiki ni kuoneshana tukiwa hai.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ingekuwa hivyo, so what ?

- Justin Bieber kasaidiwa na Usher mpaka kawa msanii mkubwa, huwezi kumkuta Usher anazurula kwenye media kutangaza bila yeye JB asingetoka.

- Akon kamtoa Lady Gaga lakini hawezi kutamba kumsaidia.
 
Mpaka huyo Ruge anakufa hajawahi ku-revoke AMRI yake ya Vyombo vya Clouds Media kumpa ushirikiano Diamond na Wasafi kwa ujumla katika kazi zao za sanaa, nilitegemea katika ile death bed pale Sauzi angemuomba hata msamaha

Diamond haitaji kuwa mnafiki, na pia sioni umuhimu au ulazima wa Diamond kuwa ndio centre of attention ya msiba wa Ruge, muacheni Ruge apewe heshima yake ya mwisho na watu wake aliochagua kushirikiana nao

Sent from my iPhone using JamiiForums

Lakini kuna maisha baada ya sanaa.

Diamond hapaswi kuonesha immaturity. He has grown now
 
Hakuna dhambi kubwa kama unafiki, hongera Diamond shikiria hapohapo, usiwe kama yule aliyevamia Clouds akisindikizwa na 'makhirikhiri'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi siyo shabiki wa hawa akina Diamond, lakini sincerely speaking, acheni Diamond aishi maisha yake as long as haathiri maisha yetu

Mimi binafsi sijaguswa na msiba wa Ruge kwa namna yoyote ile.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom