kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.
Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa nyingi.
Na yeye sio kwamba ndio atakuwa msanii wa kwanza kufanya hivyo 20% alifanya hivyo, Papa Wemba alifanya hivyo kwa wimbo wake La vie est belle.
Naomba afanye hivyo kwa faida ya Bongo movie pia.