Diamond Platnumz anaweza kuziba pengo la Kanumba akiwa muigizaji pia

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.

Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa nyingi.

Na yeye sio kwamba ndio atakuwa msanii wa kwanza kufanya hivyo 20% alifanya hivyo, Papa Wemba alifanya hivyo kwa wimbo wake La vie est belle.

Naomba afanye hivyo kwa faida ya Bongo movie pia.
 
Tatizo la Bongo Movie sidhani wala kama ni uwepo au kutokuwepo kwa Kanumba au mtu kama yeye..., Kwa ufupi nadhani industry ilikumbwa na quantity nyingi zenye low quality hadi kuwa-turn off watazamaji...

Shida nadhani ilikuwa kwenye script / plots n.k. kuliko hata waigizaji Star yoyote hata kama sio actor anaweza akatumika hata kwa muda mchache kuvutia watu waangalie sababu fulani yupo...

Nadhani more than actors we need better directors....; Actors wapo comedians kina Jyoti na walikuwepo hata kipindi cha redio kina Jangala na Mzee Jongo (Tatizo kwa uzembe wao Bongo Movie ilipoteza Watazamaji kwahio kuwarudisha inabidi wafanye kazi ya ziada) Pia waingie kwenye Series nadhani hizo zina potential zaidi....
 
Ni Nani anataka kutazama maudhui ya ngono nadhani hapa ndo wanapofeli bongo movie
 
Just being a Devils Advocate....

Unajua kwamba Ngono / Sex is a best seller ?!!!; Nadhani wangekuwa wana-act ngono industry yao ingekuwa maradufu kuliko ilivyo sasa (not that am saying wafanye hivyo); Hapa kwenye ngono hawapo wala kwenye serious / good story hawamo - Yaani sijui hata kama wanajua soko lao wanataka nini....
 
Nadhani watu wanaotazama Sana movie ni watoto na wa Mama majumbani sasa ni Nani atoe hela yake kununua movie za ngono ili watoto wake watazame?
 
Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.

Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa nyingi.

Na yeye sio kwamba ndio atakuwa msanii wa kwanza kufanya hivyo 20% alifanya hivyo, Papa Wemba alifanya hivyo kwa wimbo wake La vie est belle.

Naomba afanye hivyo kwa faida ya Bongo movie pia
Ni kali sana kuanzia vdeo hadi wimbo wenyewe kama new era halafu kama old school vile.
Jamaa fundi
 
Video ya Diamond dakika 3 budget ni 50M+ wakati Bongo Movie movie saa 1 na nusu budget 5M-10M. Huo unora utatoka wapi?
Zile movie za kichina kikorea wanazo-act kwenye kachumba na kameza ka mbao mbona nyingine zinapendwa na ni nzuri tu.... issue sio pesa pekee hata story behind the movies..., El-Mariachi production ya mwanzo haikufikia hata usd 8,000 ingawa baadae waliongeza pesa maradufu kwa ajili ya marketing....
 
Hata story writers wazuri wanataka kulipwa vizuri
 
Ulipwe na nani ? Kama kazi ni yako na inakuwa nzuri na unauza basi utalipwa / utajilipa; Hii tabia ya u-mercenary watu kufanya vitu sababu ya pesa pekee na sio sababu kuwa na interest dedication ya kitu fulani ndio maana there is lack of quality / originality ; hata huko nje ni mwendo wa duplicity...
 
Kwa hiyo mtu aandae story then itumike burebure tu
 
Aisee nani mwenye jukumu la kuuza; kama wewe una story nzuri ingia mkataba wa kupata malipo through sales..., kwahio the more you sell the more you earn kwenye royalties.... ikiwa flop endelea kutunga; kuna watu maisha yao yote wametunga / andika na hakuna kilichotokea inabidi afanye kazi nyingine ku-support hobbie yake - its a jungle out there kwenye kila chache zinazo-make nyuma yake kuna nyingi zinazo-flop..... in todays world unaweza ukawa an indie producer / writer n.k.
 
Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.

Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye filamu ya huu wimbo wa Zuwena na amini anaweza pia kuamsha bongo movie na pia anaweza kupata pesa nyingi.

Na yeye sio kwamba ndio atakuwa msanii wa kwanza kufanya hivyo 20% alifanya hivyo, Papa Wemba alifanya hivyo kwa wimbo wake La vie est belle.

Naomba afanye hivyo kwa faida ya Bongo movie pia
Diamond linakipaji Cha kuect movies jamaa linajua kuect kuliko kuimba, Yani ukicheck kwenye nyimbo zake anavoect anapatia sana mfano, nyimbo ya ukifika salama utukumbuke na sisi Ile ya uwadanganye watoto na vibagia , Ile ya kitoronto hey thooooomas, yatapita na zuwena, huyu jamaa anajua kuect, ajaribu na bongo movies atatoboa zaidi
 
Back
Top Bottom