Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Akomae Africa apige hela kweli kweli kama P Square walivyopiga hela kipindi chao. Soko la Marekani sidhani kama limeshawahi kumsaidia msanii yeyote mwenye misingi hasaa ya Kiafrica kwa maana ya Lugha na aina ya muziki.
Mkuu hizo fedha zinazotokana na views unadhani zinapatikanaje? Malipo Ya views za bongo ni sawa na Marekani? Malipo Ya show za dar live ni sawa na mambele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom