Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Ameelezea kuwa alivutiwa sana na mbinu pamoja na ubunifu ambao anautumia msanii wa bongo flava wa Tanzania Diamond Platnumz
UKIWA UNASIFIWA NAMNA HII NA VYOMBO VYA KIMAGHARIBI, BASI UWE UNA HAKIKA ASILIMIA 100 WEWE UMEPOTEA NJIA KIMAADILI. WATCH OUT!
 
Wasanii wa wanaochipukia/wa kiafrika wajifunze kutoka kwake sio akina Chriss brown, Ed sheeran, Justin Bieber coz video moja ya kati ya watu nliowataja hapo views wake ni sawa or zaidi ya video zoooote za YouTube za Diamond.

All in all jamaa anafanya vzuri amebakiza step moja tu nayo ni kuingia rasmi kwenye market ya Marekan
Akomae Africa apige hela kweli kweli kama P Square walivyopiga hela kipindi chao. Soko la Marekani sidhani kama limeshawahi kumsaidia msanii yeyote mwenye misingi hasaa ya Kiafrica kwa maana ya Lugha na aina ya muziki.
 
Back
Top Bottom